Poa Mkuu, lakini hakikisha hiyo shuka #1 kwenye photo inakuwepo ndugu yangu!! Niwekee na wala sitakuangusha kwa sababu sina Uswahili kwenye biashara ingawaje hapa hapa JF Sellers 3 wamewahi kuniletea Uswahili kwa kushindwa ku-deliver kile ambacho tulikubaliana! Na Jtatu nitakushitua unioneshe sample mpya utakayopata!