Nauza mashuka mazuri, karibu nikuhudumie

Nauza mashuka mazuri, karibu nikuhudumie

Pure cotton. Shuka 2 za 8 kwa 8.5 na foronya 4 kwa 65000
IMG_20180509_211332_653.jpg
IMG_20180509_211436_658.jpg
 
Wapendwa karibuni mali mpya. Shuka 2 feet 8/8 na foronya nne. Elfu 55.
Ya watoto shuka 1 na foronya 2 elfu 25.
Mashuka ni cotton kabisa.

Napatika Dar-Magomeni usalama

0788429043 / 0712312706 - whatsapp
20190102_093902.jpeg
20190101_231307.jpeg
20190101_225510.jpeg
20190101_223108_001.jpeg
Screenshot_20190102-101727_Instagram.jpeg
IMG_20190102_104355_015.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20190102-101727_Instagram.jpeg
    Screenshot_20190102-101727_Instagram.jpeg
    46.8 KB · Views: 58
  • IMG_20190102_104355_015.jpeg
    IMG_20190102_104355_015.jpeg
    85.6 KB · Views: 54
ma duvet unayo?
Hapana sina ndugu. Unaweza wachek cotoon empire duka lao moja wapo lipo mtaa wa msimbazi upande wa kushoto kama unaenda fire.
Ila pia maduka mengi kkoo wanayo hii set, na unaweza pata kwa 70 -75. Ukiipata kazi yako itakuwa ni kubadili duvet cover tu.
Screenshot_20190104-151709_Instagram.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni mifano yet set ya piece 8. Shuka 2pc, pazia 2pc na foronya 4pc
Ukubwa wa shuka ni 7*8 na mapazia ni 1.5 metr kwa upana na 2.5 meter urefu.
Ni mashuka (flat sheets) na sio duvet.
Bei ni elfu 70000/= na gharama inajumuisha delivery kwa wakazi wa dar na utalipia ukishapokea mzigo wako.
Mikoani natuma kwa gharama za mteja. Ukihitaji nicheki kupitia 0712312706. KaribuniView attachment 759685 View attachment 759686 View attachment 759687 View attachment 759688 View attachment 759689
Mashuka mazuri dear na bei nzuri pia ngoja nichukue namba ntakutafuta nkimaliza ada, mimi ni mpenzi wa mazhuka sana na huwa nayanunua kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom