habari waheshimiwa
nina non hosted account ya adsense inauzwa na ishapata barua price ni 100000 maongezi yapo njoo pm tubonge nipo dsm km ukitaka tuonane face to face tufanye busness flesh tu
Kwa yoyoteanaejua wapi naweza kupata yale magazeti ya kiarabu au yale meupe ambayo hayana maandishi naomba anijulishe..
Nayahitaji kwa wingi sana,huwa yanafungwa kwa kilo 15-20 kwa kila bando moja...
Habari,
Naomba nikusadie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo. Ni rahisi sana.
Andaa document copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba:
1. Leseni ya biashara
2. TIN no.
3...
[emoji654]️OFISI IPO MAGOMENI MAPIPA MTAA WA IDRISA UPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA KARIAKOO AU JANGWANI
[emoji654]️WARRANTY MWAKA 1
[emoji654]️INA RADIO, BLUETOOTH, AUX INPUT, USB PORT, MEMORY...
Guest house inauzwa buguruni sokoni.
Zipo 2, zote zinauzwa million 120.
Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au...
Uzi huu unaandikwa na kijana msomi , mtaamu wa masuala ya umwagiliaji kutoka chuo kikuu cha sokoine cha kilimo (SUA)
Faida za umwagiliaji kwa njia ya matone
1. Matumizi kidogo ya maji , kila...
Wakuu Nataka kuanza miliki gari, nataka Toyota Ist na Toyota wish, ambazo zipo ktk hali nzuri kati ya gari hizo mbili mojawapo nikipata iliyo vizur tutafanya biashara. Pesa yangu ni M 7.
Nb...
VIWANJA HIVI VIMEPIMWA NA VINA HATI TAYARI
Vipo kuanzia 500sqm -2200sqm! Vipo 25 kati ya hvyo kuna vya makazi na biashara (cr)
VIPO KEREGE MATUMBI MBELE YA BUNJU B 1 km to bgmy rd!
BLOCK F...
Tunachimba visima pamoja na kufanya underground water survey. Pia tunafunga pampu za mkono (Mdundiko),pampu za umeme pamoja na pampu za solar kwa ghalama nafuu kabisa.
Tupo Dar es salaam Chanika...
-Tunadeal na kuchomea vifaa vya chuma,aluminium,garvanized,stanlesstil n.k
-Pia tuna desgned kitu chochote cha chuma kuanzia vitanda madishirisha na vitu vingne
-Pia tunamashine ya kisasa ya umeme...
Nauza nyumba Morogoro Kihonda Veta (Yespa) ina vyumba vinne Kati ya hivyo viwili ni self, sitting room, Public toilet,jiko, dinning na stoo na choo Cha nje .Nyumba bado haijafanyiwa finishing...
KARIBU KIMOMWE MOTORS KWA HUDUMA YA KUAGIZA MAGARI KUTOKA JAPANI.
TUPO MAGOMENI MAPIPA MKABALA NA KITUO CHA MWENDO KASI, JENGO LA RUBEYA, GHOROFA YA KWANZA.
MAGARI AINA ZOTE TUNAAGIZA NA GHARAMA...
NYUMBA INAUZWA NKUHUNGU
Vyumba 3 viwili ni masters
Sebule
Dining
open kitchen
Pia ina servant quarter kwa nyuma ya nyumba yenye chumba+sebule.Pia ina servant nyingine ambayo haijakamilika...
MAHALI-Michese
KWA WASIOPAFAHAMU MICHESE
-Michese ni barabara ya iringa
-kufika michese unapita barabara ya vumbi inayokatiza mirembe-kikuyu-usalama wa taifa na kufika michese
-michese inapakana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.