website inauzwa pamoja na youtube, social networks adsense na google application yake iliyounganishwa na admob..
price 600,000 maelewano yapo.
http://bit.ly/JamiiForumz
Wiki kadhaa zilizopita niliwasilisha thread hii hapa 👇.
https://www.jamiiforums.com/threads/hawa-jamaa-ni-waukweli-au-wapigaji.1595188/
MREJESHO:
Jamaa wamekuwa waaminifu nimepokea parcel...
Habari wakuu, nauza incubator yangu ya mayai 300 imetumika miezi minne.
Incubator ni automatic, inatumia umeme, made in China.
Iko vizuri sana,sababu ya kuuza ; nimefunga mradi wa kuku chotara...
Ni printer Mpya Kabsa haijawahi kutumika utaanza kuifungua wewe mwenyew mm niliagiza so zikaja mbili mfululizo na niliagiza kwa bei ya jumla na dukani inauzwa 1250000 hadi 1200000
Kazi yake
Ina...
Kwa mtu mwenye kuhitaji Berti ya Laptop model zifuatazo awasiliane nami nimuagizie kutoka nje na kuzipata ndani ya siku 4 tu
Dell 1520/1525/1545 (75$),
Dell D610/D620/D630 (70$),
Dell 6400/1505...
Habari za muda huu wana Jamii forums. Nauza internal hard drive ya desktop yenye ukubwa Wa GB 4000 tera byte 4. Hii inafaa sana ofisi zinazohitaji space kubwa kuhifadhi data mbalimbali. Pia...
Nauza laptop yangu HP proBook 6560b
Processor : Intel core i5
RAM :8GB
Hard disk : 720GB
Bei Tsh.250000/= laki mbili na nusu
Nina shida na hela ndo maana bei hiyo
Anaehitaji anichek kwa...
Wadau naomba mwenye kuuza mzani wa kupimia nafaka mashineni unaopima hadi kg 100 tuwasiliane nipo Mwanza mjini.
Pia kwa wenyeji wa Mwanza unaweza kunisaidia mahali inapouzwa kwa bei nafuu.
Umoja wa Ulaya (European Union) wametoa ruzuku kwa Taasisi za kiraia nchini Tanzania. Ruzuku hii ina lengo la kuisadia Serikali katika kutekekeleza mipango ya maendeleo ya kilimo, hususani...
Wakuu naomba msaada,unakuta gari iliyotumika bongo mtu anauza mil 8,ila ukienda be forward bei yake labda $2300 na gari niya kuanzia mwaka 2000+,ukipeleka details kwenye calculator ya TRA unakuta...
Kama kichwa cha uzi kinayojieleza naomba mwenye ufahamu wa mahali naweza kupata hiyo simu tajwa hapo juu ni ya kitambo kidogo, hata kama ni used iwe na condition nzuri
Maeneo yanayohitajika ni mbezi beach, Bahari beach, mikocheni, Masaki, ostebay,
Nyumba iwe ya ghorofa na atlist uwanja usipungue 1500sqm
Ofa kwa mbezi beach 400m na kwa maeneo hayo mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.