Fridge inauzwa haina tatizo lolote
Ni frijii aina hot point
Ipo arusha
Bei 550k (mazungumzo yapo)
Kwa maelezo zaidi
Au piga simu namba 0753 315 521
Kaibuni
Habari wakuu,
Natafuta kiwanja Goba, ukubwa ni sqm 900 na bajeti yangu ni milioni 15.
Mwenye kiwanja aseme aweke wazi kipo Goba ipi pia na ukubwa wa kiwanja.
Habari za muda huu wapendwa napenda kuwakaribisha wale wote wenye uhitaji wa kujua namna ya kujiajili na kuongeza kipato cha ziada nimeguswa na swala zima la ajira na kujiajili kwa watu wa rika...
Habari,
Nauza monitor speaker kwa matumizi studioa used miezi miwili tu zinaonekana kama mpya
M AUDIO BX 8 ni 750,000
M AUDIO BX 5 ni 450,000
mixer Ndogo 200,000
Kwa mawasiliano zaidi 0658 64...
Drone Computer wauzaji wa muda mrefu wa Computer, sasa tumekuletea
Computer za mac Apple ' All in one zenye sifa zifuatazo...; screen
size inch 20, CPU na speaker zimo ndani ya screen, internet...
Habari,
Nahitaji fundi wa kurekebisha sofa seti moja kwa bei nafuu na material ni juu yangu. Ni kitambaa cha sofa ndio kimechanika na nahitaji kubadilisha.
Napatikana Boko
Ahsante
Wakuu zile adapter kwa ajili ya kucheki DSTV bure zimewasili kutoka China jana. Nimezitest zipo powa.
NB: Hizi ni mpya sio zile za hawk wala sio zile za dongle zinohitaji dishes 2......hazina...
Namba DEE
Mwaka 2003
Engine size ni cc 1,490
Ipo kwny hali nzuri, inatembea, tairi mpya radio, seat cover n.k
Bima mpya
Engine kavu, Imetunzwa sana!
Location: Udsm/Ubungo
Call/WhasApp 0764875468...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.