Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
NISSAN BLUEBIRD KM - 55K CC - 1490 YEAR - 2006 FUEL - Petrol SEATING CAPACITY - 5 BEI - 13.5M Big Interior Full AC Full Documents In mint condition Gari ina muda mchache toka iagizwe iwahi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema eneo ni ekari tatu kamili barabara ipo viwanja vimepimwa karibu kabisa na hapo. Shamba linafaa kujenga, kupanda miti, kahawa na kilimo cha kawaida bei milion...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Kiwanja kina ukubwa wa 800sqm na ni cha 3 kutoka lami ya kibada, km 14 kutoka feli..kiwanja kimezunguushiwa fenc bado geti tu. Bei 32m Maongezi zaidi chek na mimi kwa 0756060183
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tubadilishane Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Salaaam, nahitaji mabati PC 40 yaliyotumika nipo kiluvya gogoni dsm 0755404226
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Niko Dar, mbezi , kokote nakufikia Tunafanya kaz
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nauza laini za uwakala za Tigo pesa na airtel money. Bei ni sawa na bure. kwa maelezo zaidi nicheki kupitia # 0738 587757
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Ninaiondoa mikononi mwangu simu yangu kwa bei ya Tzs 150,000 tu (Non negotiable) nikiwa nimeitumia kwa kipindi kisichozidi miezi minne tu Brand: iPhone [emoji336] Model: 5s Storage: 16Gb iOS...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Iwe sehemu iliyochangamka, bajeti yangu 150000
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kuwa julisha kuusu kampuni yenu pendwa kuwa sasa inausika na shughuli zote za uchapisha(printing) Ikiwemo; business card, Brounchure, Flyer, posters and videos production. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Habari wakubwa! Kikundi cha wanateknolojia kilichopo Dar es salaam kinatoa nafasi za kazi kwa freelancers popote pale hata nje ya nchi. Hakuna ajira isiyokuwa na changamoto ila ukifanya kazi kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu habari! Niko na shida ya kupata hizi mashine kwa haraka mno. Mashine hizi zote zinatumika kwenye kukunia nazi. Anayejua zinakopatikana, na bei na hata mawasiliano anisaidie please. Ahsante!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
****Ni dawa ambayo utatumia pia ukiwa unafanya mazoezi ya kawaida kwaajili ya matokeo mazuri na mabadiliko ya haraka**** ONDOKANA NA TATIZO LA; - Unene na uzito wa kupindukia - Vitambi kwa...
1 Reactions
4 Replies
755 Views
Njopekafarm tunauza mbegu za nanasi kwa bei nafuu ,tupo mkuranga pwani bei 150tzs
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Haina shida yoyote (Ni Manual), Ndo gari yangu ya kwanza, Naiuza kwakuwa nimepata nyingine. Iko Mwanza kama uko interested 0686527039 Bei 3.5M
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wrote, Naomba niwaaahirikishe jambo moja .Nikiwa mmoja wa wadau nikishirikiana na taasisi ya serikali inayojulikana kama National House Building Research Agency ,ambayo inapatikana mwenge...
4 Reactions
28 Replies
7K Views
Habari wandungu....nihjtaji kukodi gari kwa matumizi ya siku mbili dar es salaam. Kagari kadogo saloon car kama ist au mark 2 grande itafaa. Mwenye kutoa huduma hiyo please inbox me.
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Nahitaji frem kwa ajili ya kufungua duka la mahitaji mbali mbali ya nyumbani chumba kisizidi 60, 000 kwa mwezi. Kama upo jijini msaada tafadhali mi niko songwe so mda wangu wa kuja jijini ni finyu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyumba ipo kijitonyama Afrikasana na haiko mbali sana na shekilango road,na pia iko jirani na soko la Afrikasana. Vyumba 4 self, nk Size plot 400 sqm Bei 300m Maongezi zaidi 0756060183
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom