Wakuu habarini, nipo hapa kuomb msaada kwa yyte yule ambaye yupo china au aliwahi kupata scholarship ya china nahitaji msaada wake wa haraka.
Natanguliza shukrani
Receptionist/Front Desk position available immediately. Posta area, Dar es Salaam. 0714010010. Strictly no emails, or fake spam-CVs or smiley photos! Our boss doesn't need models but you must...
Hello Everyone
Ninafungua a new Whatsapp group kwa wadau wote wa Movie,Series
It is an Exclusive group yenye kiingilio
Najua wengi mtakua mmeshangaa baada ya kusikia kuna kiingilio
Here is why...
Habari , kama kichwa cha habari kinavojieleza nauza vitu vifuatavyo vikiwa katika hali nzur sana,
Carpet /zulia la manyoya mengi-135000
Dressing table nzruri ya mbao -85000
Kochi la watu...
Habari wakuu,
Natafuta tairi na rim saizi 12 za suzuki carry . kwa anaeuza used(za zanzibar) au mpya tuwasiliane kwa haraka PM tufanye biashara.
Asante.
habari wadau.. nauza brand new projector aina ya acer x 115 dlp ina lumens 3300
bei ni laki 6 kamili.
sababu ya kuuza ni sijaitumia na naona sihitaji tena.. nina biashara ya photo studio na...
Habari wanajukwaa;
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ninahitaji computer desktop kwa ajili ya watoto kujifunzia. Budget ni 200,000/=tzs.
Kama unayo nicheki kwa namba 0765-741-591Kwa kutuma...
Kwa hekima na busara zenu
Wadau nahitaji kununua SIMU mpya dukani
Naombeni msaada wa kujuzwa aina nzuri ya simu yenye uwezo mzuri wa internet ya laini mbili kwa kampuni yoyote inayo toa SIMU ORG...
Kujifunza na kujua kuzungumza lugha ya kichina,wote chinese bridge training center inawatangazia wote ambao wangependa kujifunza lugha ya kichina nakujua kuizungumza kwaajili ya utalii,biashara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.