Habari ndugu wana JamiiForums!
Kama kichwa cha mada hapo juu, ninahitaji kununua gari na chaguo langu ni Spacio new model used(bongo) maana bajeti yangu ni 6.7M. Kwa yeyote mwenye nayo anichek PM...
Haina tatzo lolote hata maandishi ukiitaji tutasain, haina creak, haijawai kwenda kwa fundi, haijawai kufunguliwa. UWEZO WAKE ina 4g, ina ram 3gb, ina internal storage 32gb. Bei ni 220000...
Wakuu,nahitaj office equipments.mazaga yote kwa bei ya jumla lakin kama mtu anayo
1.desks
2.shelves
3.desktop computers
4.viti
5.meza za offisi
6.projector
7.writing boards
8.curtains
Kila kitu...
Habari wapendwa. Ninauza king'amuzi cha star times cha chuma cha Antenna kwa bei ya Tsh 45,000/=. Sababu ya kuuza ni kuwa ninahama Dar naelekea Kilosa huko antenna hazishiki. Kina channeli za bure...
Katika kuwajali wakulima wetu na kutambua mahangaiko yao kwenye masoko ya mazao wanayoyazalisha, kampuni ya kinasoru East Africa Tanzania Ltd imepata soko la uhakika la kuuza viazi lishe nje ya...
Wadau....nina mahind tani 5,nnauza kwa kilo sh 740,anaehita kununua awe ni wa kash...nkifika kukuletea mzigo nikupima na kunipa pesa...nitafte 0766089646/0710925731
Wadau habari zenu, natafuta zile pump za umwagilia zinazotumia miguu kusukumia maji kama kuna mtu anafahamu zinapatikana wapi hapa dar tafadhari anielekeze
Wakuu, nina asali ya nyuki wadogo kutoka Tabora (original) kiasi cha lita tano (5 ltrs) nauza yote kwa pamoja kwa bei ya sh.100,000 tu, ninapatikana DSM , Kimara Temboni. Kama unahitaji njoo PM au...
UPDATES OF CAMERA PRICES
-CANON EOS 550D -PRICE-800,000/=
- CANON EOS 600D WITH 18-55MM OR 50MM-PRICE 870,000/=
- CANON EOS 700D WITH 50 MM PRICE 1.15M
- CANON EOS 1000D-WITH 18-55 MM PRICE...
Jipatie portable Huawei universal mifi router
Inaunganisha device zaidi ya 10
In a support mitandao yote #voda#tigo#airtel#halotel#ttcl#zantel#smile katika modes zote 3G na 4G
Inakaa na charge...
Camera aina ya
Nikon Coolpix P500
Ni mpya inauzwa
Location: Ubungo/Mawasiliano
Text:076792376
Call:0767923176
WhatsApp:0767923176
Quality Products & Services Is Our Destine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.