Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Baada ya kuwa tumeimaliza tamthilia pendwa ya SULTAN Jana Azam TV wametambulisha tamthilia mpya ya wounded love ikiwa inausisha baadhi ya washiriki waliokuwa kwenye tamthilia ya Sultan. Nasemaje...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Inauzwa Samsung galaxy Tab A screen size inch 8 inapiga na kupokea simu. Model ni SM-T285. Ram 1.5 GB Storage 8 GB Bei ni 250k
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni Olympus CH20i Iko vizuri tu haina tatizo Bei ni 750,000 tu Ipo Dar Mawasiliano 0712222575
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina pesa hiyo tajwa nahitaji kiwanja Dar es Salaam. Aliyenacho aseme eneo na ukubwa kisha nitaamua
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Dalali yoyote mwenye nyumba yenye sifa hizi katika eneo husika kuna jamaa angu anahitaji hadi kufikia tarehe 1. Vyumba 2 kimoja masta itapendeza zaidi japo hata Vi3 ni sawaa. Sebule, Jiko na...
0 Reactions
2 Replies
872 Views
Kitanda Cha chuma, godoro lake,stendi ya viatu bei ni maelewano Chumba wanalipa 60 kwa mwez Vipo maeneo ya kikuyu st john 0656 548919 beka
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nahitaji kumiliki huu usafiri mnijuze mnaofaham ni bei gani anauzwa na wapi naweza mpata nahitaji awe mweupe. asanteni.
1 Reactions
21 Replies
16K Views
Bajaji used inauzwa ipo Sinza kwa maelezo zaidi karibuni PM
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba mtu anaefahamu wapi naweza kupata jiko la namna hii hapa Dar es salaam anijuze... Jiko hili linatumia gas nq lina mawe maalumu yanayokaa mpaka miaka5. Nimejaribu kuulizia lakini nimekosa...
2 Reactions
16 Replies
10K Views
OnePlus 7 🖤 8gb Ram + 256 Rom Tsh 1.55million OnePlus 7 Pro 🖤 8gb Ram + 256gb Rom Tsh 1.95million OnePlus 6T McLaren 🖤 10gb Ram + 256gb Rom Tsh 2.1million OnePlus 7 Pro 💙 12gb Ram + 256gb Rom...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
habari wadau.. chumba kimoja kinapangishwa ubungo karibu na mabibo hostel.. bei elfu 60. malipo miezi sita.. kipo ndani ya fensi, umeme wa kushea na maji ya kushea bili ya dawasco. 0692 275 229
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza new HP monitor nchi 23 elf 90...haipngui Screen ipo kigoma mjini Wasap 0762990097
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Karibu katika mafunzo ya online ya electronics kwa lugha ya kiswahili. Tunafundisha ubunifu wa vifaa mbalimbali vya kielectronics Kuunda control Timers Digital system Frequency device Inveters...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, nauza vifaa vilivyo kwenye gear box ya Rav4 4WD, Engine type 3s ya 1995 Gear box nimeishusha juzi nikapachika mpya kwenye gari yangu. Mawasiliano: 0652902994
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahtaji pesa ya fasta, Used 2 moths, unapewa kila kitu mpaka box, Location, Dar Kama unazani ni kopi au kasha tukakabidhiane POLISI ili usiwe na wasi wasi
0 Reactions
14 Replies
2K Views
TURN NIGHT TO BRIGHT(POLARIZED VISION GLASSES) Ni miwani mizuri sana kwa madereva wa gari na pikipiki,inasaidia kuona vizuri usiku ukiwa unaendesha ,kwa kupunguza mwanga mkali wa taa za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
==Kitanda cha mbao (5 x 6) ==kinauzwa bila Godoro ==Kipo mbezi, luguruni ==Bei 200,000/= Sababu ya kuuza ni kwamba anahamia mkoani kikazi. ~Karibu PM kwa mawasiliano zaidi~
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kiwanja kimepimwa ukubwa 1200 mita za mraba Hati zake zipo Kipo mita chache kutoka Bagamoyo road Bei ni Tshs. 30,000,000 Piga/Sms/WhatsApp +225784252741
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Kiwanja kipo Salasala Kinzudi Dar es salaam Ukubwa == Mita za mraba 920 Umbali == Kilomita 4 kutoka Bagamoyo road Kina hati safi Bei == Tshs. 27 mil. (Maongezi yapo) Piga/Sms/WhatsApp...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom