Kwa sababu nisizojua, kanisa moja mjini kwetu limefungwa, na mali zake zote zinauzwa. Pamoja na vitu vingine, kanisa hilo lilikuwa linamiliki broadcasting station ya kisasa yenye 330kW Digital UHF...
Salamu nyingi wadau wa JF. Leo nimekuja kivingine kabisa sio muziki bali ni biashara. Uwanja unauzwa kinyerezi. Umepimwa na anayeuza ni Mama yangu mdogo. Ukubwa ni urefu ni 54.6 Mita kwa 48.29...
Jipatie vijiti vya kuwashia mkaa(moto) kwa Tsh. 750/= jumla na Tsh. 1000/= reja reja. Kwa Dar unaletewa hadi ulipo na mkoani tuna tuma pia.
#0620479092
#KijitiKimojaTuKinawashaMkaa
Habarini? Ndugu zanguni anayejua wapi nitapata au mwenye t-shirt V-Shape rangi ya njano sample pichani hapo, zinahitajika haraka pc kama 100 hivi.
Bei iwe kawaida ile ya jumla karibu na ya...
Kama unataka kuuza au kununua chochote kati ya: gari, simu janja (smartphone), kompyuta mpakato (laptop), na "furniture" (samani za nyumbani). Njoo PM nitakuuzia au kukutafutia kulingana na bajeti...
Ukubwa: SQM 560 (25.5m × 22m)
Kipo rwamishenye, Bukoba Manispaa.
Ni km 3 kutoka katikati ya mji.
Kina documents zote, huduma zote zipo maji, umeme, access ya barabara nzuri tu.
Kipo mjini kabisa...
Anahitajika mpishi wa jinsia yoyote mwenye uzoefu wa kupika vyakula vya aina mbali mbali na vitafunwa.
Mgahawa upo kijitonyama karibu na chuo cha ustawi.
Mshahara atalipwa sh. 120,000 kwa mwezi...
Habarini wanaJF
Mimi ni mjasiriamali mwenzenu toka Tabora nauza asali mbichi ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa haijachakachuliwa hata kidogo, hutojutia ukinunua asali hii...bei ni poa karibu na...
MSALLAMO AGRO ENVI CO.LTD
Majitaka imekua ni tatizo sana miongoni mwa watu wengi hapa Tanzania na dunia kwa ujumla; Makazi mengi yamekua hayavutii wala kuthaminiwa kutokana na miundo mbinu hafifu...
Wanajamvi....
Nimefanikiwa kufika hapa kwenye mambo ya ujenzi pembezoni mwa jiji...., baada ya kusimama kwa muda sasa nimepata 4.2 milion kwa ajili ya kuezeka. Napenda sana zile bati za rangi...
Sumsung Tab A, ina RAM 2GB, storage 16GB, inatumia SIM card pia na Wi-fi. Ukubwa wa screen ni 9.7 inch model yake ni SM-T555. Ipo full boxed pamoja na shell yake OG. Inapatikana kwa Sh. 290,000...
Wakuu kama kichwa cha kinavyoeleza. kama, binafsi mimi ni muuzaji wa bidhaa za ujenzi ambazo naweza kuzijumauisha katika makundi makubwa matatu, bithaa za umeme, bidhaa za mabomba ya maji safi na...
Wakuu vipi, Natafuta Dealer au Duka wanalouza vifaa vya Generators za Perkins.
Shida yangu hasa ni kupata Filters Za oil na diesel, casing zake na Hata ijiwezekana Cap zake nahitaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.