Habari za wakati huu...!!
Natafuta mtu anayeuza kitanda na godoro lake aniuzie ila viwe katika hali nzuri... Itapendeza kama size itakuwa 4x6 au 5x6
Mawasiliano.. 0620 344312
MBAAZI- Huu ni mti maarufu sana kwa watu wengi na hutumika kama mboga ama chakula hasa kwa watu wa pwani
Pia kwa upande wa wa waganga,wanga,wachawi na baadhi ya majini na mashetani pia...
Nawasalimu wafanyabiashara!
Nipo dodoma mjini. nahitaji mayai ya kuku wa kisasa minimum trei 40 kwa wiki.
Anayejua supplier au yeyote ninapoweza kuyapata mayai hayo anicheki tuwasiliane...
Tupo magomeni mapipa mkabala na kituo cha mwendokasi, Jengo la Rubeya, Floor ya kwanza.
MAWASILIANO
0767362849
0676648992
Njoo uipatie wallpaper za ukutani za 3D kwabei poa kabisa
1. Upana 70cm na...
Habari wadau?kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu,mwenyekufàham yanapouzwa maderi ya kuhifàdhià vinywaji baridi naomba anijuze aina ya madeli yawe kama ya AZAM UKWAJU yenye...
Habari njema sana kwa wana jf; karibuni mjipatie homethietr aina ya Sony yenye spika 5 pamoja na deki yake, ILIKUWA INAUZWA LAKI 390,000 LAKINI MTEJA WETU TUNAKUPATIA KWA BEI YA LAKI 350,000...
mr uk subwoofer inauzwa laki 150,000 Ina volume 60, inatumia Bluetooth , flash memory card, usd, Aux, rimont AC/DC kwa jili ya sola/umeme.#warrant mwaka 1 Tunapatikana kariakoo mtaa Wa ndanda piga...
Eneo lenye ukubwa wa Hekari 500 linauzwa. Eneo lipo Kisarawe, Masaki kijijini, eneo lipo along barabara iendayo Msanga/ Maneromango. Ni kilomita 20 ukitokea CHANIKA.
Hekari moja inauzwa shilingi...
Kwa wale wenye uhitaji wa pooltable wanaweza kuwasiliana na mm
Pool table used iko vizuri kabisa aina ya kenice uwanja ni dongo imara
Napatkana mashewa korogwe tanga kwa mawasiliano nitafute...
Karibuni kwa mahitaji yafuatayo.
1; Nyumba za kupanga
2; Nyumba za kununua
3; Viwanja vilivyopimwa
4; Viwanja visivyopimwa
5; Mashamba ya kukodi kuanzia hekari 1 mpaka hekari 100
6; Mashamba...
Asalaam aleikum ndugu zangu wa jukwaa hili mahususi, bila shaka mtakuwa mnaendelea vizuri na mapumziko ya mwisho wa wiki.
Basi ningependa ku-share nanyi biashara hii ambayo iko wazi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.