nyumba imejengwa imefika usawa wa lenta ni nyumba ya vyumba vinne inauzwa ukubwa wa kiwanja ni 30*20 kiwanja kimepimwa documents zote halali zipo bei ya hii ni milion nane kwa maelezo zaidi...
Habari za majukumu wanazengo natumaini muwazima kabisa...
Yapata week sasa ni baada ya kuamua kufanya service gari yangu aina ya suzuki swift 2007
Vifaa vyote vinavyotakiwa vimepatikana kwa...
Nauza chia seeds zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu.
1kg inauzwa 17,000/- gharama za kuletewa utajitegemea.
3kgs na zaidi zinauzwa 1kg@16,000/- unaletewa popote Dar es salaam.
1/2kg...
Habari!
Kwa anayefahamu naomba kusaidiwa kupata sehemu nzuri ambapo ntafanya biashara ya spare pats na service za Howo truck hapa Dar es salaam. Pia napenda kufahamu kodi ya miezi 6 itakua kiasi...
Habari kwenu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika,kwa MTU,SHIRIKA ama TASISI yenye uhitaji wa kutengenezewa au kufanyiwa coverage ya VIDEO PRODUCTION.
Tunatengeneza aina mbali mbali...
Habari..Tunauza viwanja viwili kwa ajili ya mahitaji ya ujenzi wa petrol station mali halisi ya familia yetu kwa bei nafuu sana..kimoja kipo singida road heka tatu kina hati bei ni mil 170. na...
Habari ya muda huu wanajamii forum yule fundi ,mbobezi wa masomo ya sayansi physics,mathematics na chemistry kutoka chuo kikuu cha dar es salaam(udsm) anakutangazia distance learning program hata...
kiwanja chenye ukubwa wa 15*30 kimepimwa kinadocuments zote halali bei hati ipo bei ni milion moja laki nane tu kipo maeneo ya Luchelele karibu na ziwani kwa maelezo zaidi whasapp 0763772636
KAZI KAZI KAZI KWA DARASA LA SABA NA FOMU 4
giningi steshenari inatafuta kijana wa magazeti, kusimamia betting machine, playstation na kuaidia kusimamia shughuli za steshenari
sifa: darasa la...
Wadau naombeni msaada
Nina simu yangu ya itel tachi
Simu yangu ikiwa haina salio la vocha au kifurushi nikipigiwa simu nakua sipatikani hewani kabisa angali simu iko ON hadi pale nitakapo eka...
Nahitaji msichana wa kazi nipo Dar ambaye ni muadilifu atakayekwenda na mimi kanisani, niko na mtoto mmoja.Mshahara wangu ni 70,000 namba yangu ni 0762071092
Nyumba inàpangishwa self container
Inàvyumba vitatu kimoja master,parking kubwa luku na maji yapo ,nyumba IPO karibu na kituo cha dalàdalà na kanisa la mwamposa,kodi 300,000/ 0713507156 au 0684874573
Mambo vp wajasiriamali?
Naomba kujua bei na wauzaji wa nyaya za uzio, na mikoa muuzaji anayoweza kufikisha mzigo.
Nataka zile za muundo wa mkeka (sio senyenge).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.