wakuu kwa sasa nafanya biashara ya asali kanda ya ziwa na dar es salam, hakika inanifanya niishi vizuri sana ila natamani kufika mbali sana kibiashara, imefika nyakati nataka nianze kufanya...
Habari wana jf.
Je unahitaji kifungashio bora cha bidhaa za mteja wako? Usihofu kuhusu hilo Mimi nimuuzaji na msambazaji (home/site delivery) wa vifungashio bora kabisa vilivyotengenezwa kwa...
Kama unatumia beer na unapenda kubadishana mawazo na wanaopenda beer karibu ujiunge kwny group whatsapp
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/Jwme5LhbWOoK28mpX7hopg
Sisi ni wajasiriamali wadogo tunaotengeneza na kuuza viatu vya ngozi ikiwa ni bidhaa kutoka ndani ya Nchi yetu.
Viatu vyetu vina ubora usiotiwa mashaka lakini pia gharama zetu ni nafuu zaidi...
Habari Members
Wiki mbili zilizopita niliweka tangazo la nia yangu ya kurudi Mkoani ili nikawekeze kwenye kilimo hivyo nilitangaza kuuza Nyumba yangu ambayo haijakamilika na kiwanja vilivyopo...
Mpendwa msomaji wetu, kama wewe binafsi au ndugu yako au rafiki yako anayehitaji kusoma Elimu ya sekondari au kusafisha cheti chake/chako cha kidato cha IV katika mwaka wa masomo 2019. Tafadhali...
Gari aina ya canter inauzwa Kwa bei rahisi sana ni baada ya mzee kuona dereva anamsumbua kaamua kuuza
Anahitaji million kumi na tatu tu
kama una mteja uza Kwa bei yeyote yeye yake ni hiyo tu...
kiwanja eneo la buyuni karibu na kituo cha mafuta cha Sheratoni
Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu.
Eneo bado halijapimwa
Bei ni 12,800,000/=
ikiwa utapenda...
Habari wana jamii forum,jamani mimi ni mjasiriamali naishi hapa dsm natafuta tenda ya kusambaza matunda,mbogamboga na kuku wa kisasa,kwa yoyote mwenye hotels,mashule,functions...
Wadau nnaomba kwa mtu mwenye fremu ktk eneo likilochangamka kama Sinza au Makumbusho na kodi isizidi 150,000 anitafute tafadhal, dremu iwe kubwa na yenye viwango sio ile ya kutengeneza
Habarini wadau wa jukwaa hili ?
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa robo heka(35*35) kwa bei ya Tsh Milioni 15.
Kiwanja kinapatikana Toangoma njia ya kwenda kigamboni kutoka kongowe. Karibu...
Nyumba moja ya kwanza ipo eneo la Mjohoroni karibu na ilipokuwa Merinyo sekondari.
Na nyingine ipo Meresini A jirani na Marangu sekondari. Kwa anaehitaji nicheki inbox.
Asalaam aleikum ndugu zangu wa jukwaa hili mahususi, bila shaka mtakuwa mnaendelea vizuri na mapumziko ya mwisho wa wiki.
Basi ningependa ku-share nanyi biashara hii ambayo iko wazi na...
Habari za mchana Wakuu.
Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu, nyumba nzuri inauzwa Sengerema - Mwanza na bei imeshuka mpaka 34mil.
Eneo lina ukubwa 450sqm.
Nyumba imezungushiwa fensi na kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.