Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Inaweza kuwa nyumba ya kuishi ama office, moja ina room 3, public toilet,sebule, kitchen ingine room moja na sebule, uzio, geti,usalama/mlinzi, maji, umeme, eneo la kucheza watoto nk#eneo...
1 Reactions
3 Replies
714 Views
Habari! Tukiwa tunelekea msimu wa kupanda miti. Nina Shamba nauza -lina ukubwa wa Ekari 150. -Lipo kijiji cha UCHINDILE mkoani IRINGA. -Kuna Barabara inafika hadi shambani. -Linafaa kwa miti...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
iPhone 6 imo na 64gb storage ram 3gb Hainan iCloud kuna unaweka yako unapatiwa chaji na earphones iko na hali nzuri still new delivery arusha moshi mwanza dar na shinyanga mawasiliano 0787323047...
1 Reactions
0 Replies
644 Views
wanajamvi natengeneza majiko ya gesi ya majumbani , migahawani na mahotelini , majiko ya kukaangia chipsi, majiko ya mashuleni au sehemu zenye population kubwa vilevile nafunga system ya gesi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Trekta inauzwa Brand: Massey Ferguson Model: 290 Engine Power: 80 HP 2WD Bei mil 22 mazunguzo yapo 0742228231
0 Reactions
6 Replies
3K Views
n samsungu s6 edge used. inapiga kazi fresh tu. ila inacreck kidgo. bei n 230,000: njombe call/ watsap: 0716103776
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwa yeyote anaetafuta mihogo mihogo kwa akili ya Biashara. Nauza na kukuletea mpka Tandika kwa tsh 75000/= kusafirisha juu yako ambayo ni tsh 7000/= kiasi ni kiroba cha kilo 100 mzigo unakuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rafiki yangu mpendwa, Tangu tunazaliwa mpaka tunakuwa watu wazima, kuna vitu vingi sana ambavyo tunafundishwa kwenye familia, kwenye jamii, shuleni na hata kwenye kazi au biashara. Tunafundishwa...
12 Reactions
52 Replies
9K Views
Kwa yeyote mwenye nayo please njoo PM tunegotiate bei. Asante
0 Reactions
0 Replies
662 Views
We are specialised on variety of fire extinguisher check & service starting from 5,000 to 10,000. Your welcome Located at Mbezi tanki bovu kwa komba 0712569530 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naiuza ikiwa na accessories zake zote, usb, cable charger, earphone, silicon case. Bado mpya na warrant ya mwaka 1. Bei 1.2M, haipungui. Niliagiza US, apple store. Nashimdwa kuweka picha...
0 Reactions
3 Replies
738 Views
Kuna wazo la kibiashara nalifanyia kazi ila mtaji umebana sana. Najaribu kubuni mbinu ninazoweza kutumia ili nianze tu na chochote nilichonacho huku nikiboresha kwa jinsi ninavyosogea. Ningependa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa karne hii, ili kukimbizana na Teknolojia, Hakuna asiyefahamu umuhimu wa kutangaza biashara au shughuli zake ili kufikia mamia kwa urahisi wa kuchanganua shughuli hizo kupitia matangazo ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wale wajasiliamali wa kuku incubator inauzwa Tsh 1700000(milioni moja na laki Saba),Inatumia solar power na Gesi itakupunguzia stress za umeme wa Tanesco.Bei hiyo ni pamoja na Kioo watt...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungana kuna nguo ambazo zinauzwa madukani mtumba, lakini zipo katika ubora wa juu kabisaaa. Jee mtapenda kununua hizo nguo? Ili kufanyike mpamgo wa kuagiziwa kutoka USA. Nitaweka mfano wa hizo...
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Incubator inayotumia Solar na gesi inauzwa ina uwezo wa kutotolesha mayai 352.Imetumika miezi miwili tu.Bei ni milioni moja na laki Saba(1700000/=)tu utapewa na kioo cha solar watt 190 na betri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waungana kuna nguo ambazo zinauzwa madukani mtumba, lakini zipo katika ubora wa juu kabisaaa. Jee mtapenda kununua hizo nguo? Ili kufanyike mpamgo wa kuagiziwa kutoka USA. Nitaweka mfano wa hizo...
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Ndugu.wasalaam.. Mimi ni kjana ambae natafuta maisha kupitia kilimo. Ndugu wana JamiiForums nmekuja hapa kwenye hii forum kuulizia mwenye information ya kupata mashamba huko Rufiji na wanauzaje...
1 Reactions
37 Replies
9K Views
Nauza kabati hio hapo kwenye picha, ina urefu wa futi 6, upana futi 3 na kimo futi 3, ina partition mbili katikati kwa Sh.200,000 tu,Partition zote zimevunjika ukitaka nikuwekee utaongeza pesa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom