Kwa yeyote au mfanyabiashara aliyefanikiwa je ni vitabu vipi vya kupata ufahamu au uelewa kuhusu biashara iwe ya kuuza product(bidhaa) au kutoa service (huduma) kwa customers (wateja), au kua...
Habari za mchana Wakuu.
Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu, nyumba nzuri inauzwa Sengerema - Mwanza na bei imeshuka mpaka 29mil.
Eneo lina ukubwa 450sqm.
Nyumba imezungushiwa fensi na kuna...
🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾
Usipate tabu ya kuchambua mchele uliojaa chuya, mawe kama yote
Tunakupa Mchele ulionyoookaa
Hauna mchanga
Hauna chuya
Kwa ajili ya pishi lako hotelini kwako, kwenye shughuli...
0743153849
OFISI NO: 022 212 7275
JE WAJUA SASA MABATI YA KUDUMU YAKO HUKU UNAWEZA JIPATIA MABATI KWA BEI NZURI KWA MABATI YAKUDUM ZAID YA MIAKA 30
BEI ZETU NI KAMA ZIFUATAZO.
G32-18,000/-MABATI...
Habari za jioni Mabibi Na Mabwana
Nauza simu SAMSUNG GALAXY s8+
Simu ipo kwenye khali nzuri tu japo kioo kimepasuka kidogo upande wa chini
Nipo mwanza +255768683021
"Enough of No Love"
RAM 2GB
Processor (intel) DUO CPU 1.40GHZ
HDD 100GB
WINDOW 7 installed
MODEL : eliteBook 2530p
Bei: 180,000
DVD WRITER
Battery TIME up to 4HRS
IMESHAUZWA
Ninashida ya haraka na bidhaa tajwa hapo juu,ujazo wowote ila iwe Tank mbili..mwenye nayo tufanye biashara pesa mfuko wa shati.
#zingatia bei iwe nyasi.
Mm ni designer wa nguo mbalimbali
Nauza nguo zilizodariziwa na nguo za mishono mbalimbali plus size pia sijawasahau
Mwenye uhitaji wa nguo wadada kwa wakaka
Usisite kuni pm nitakujibu
Nguo ni...
kuna hivi vifungashio vya plastic vinaangaza wanavitumia hata hawa wanaouza miwa mimi nahitaji kwa anaeuza anicheki au kama kuna chimbo wanauza naomba kufahamishwa nipajue
Habari wana jamii forum,,Napenda kuwafahamisha wafanyabiashara wa maduka na wale wajasiliamali wenzangu kuwa Nina uza na kukuletea popote ulipo (site delivery)vifungashio vilivyogenezwa kwa ubora...
Nyumba ni nzuri na ya kisasa, kila kitu kipo kinachofanya iitwe ya kisasa, uzio mkubwa na amani kwa sana, vyumba vitatu vya kulala kimoja master, jiko kubwa lenye makabati, dining, sebule kubwa...
Habari wana JF,
ni matumaini Mungu ametukirimu uzima, sote tumshukuru,
napenda kuwajulisha ndugu, rafiki na watanzania wenzangu kwa ujumla juu ya mkutano mkubwa unaorushwa kwa njia ya satellite...
Mitihani Online tunakuletea huduma ya masomo, mazoezi na mitihani online kwa mwanao aliye darasa la nne, tano, sita na saba mlangoni kwako!!. Huna haja ya kusafiri kwenda mbali, pata huduma bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.