Habari wadau
Kuna mdogo angu anapangisha nyumba ya vyumba vitatu vya kulala,sebule kubwa,choo cha public na master, dining na jiko.Nyumba inajitegemea iko peke yake iko goba center karibu na...
make:Toyota IST
Registration: DQG
insurance: premium/comprehensive to April 2020
Year :2004
Cc: 1290
Kms :30000
Purpose: commercial vehicle
Engine :VVTI
Clean Seats
New Tires
Music :Radio/cd...
Pamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao
Hongereni wateja wa Vodacom!
Aman kwenu wakuu
Kuna kiwanja nakiuza hapa dodoma kipo michese kutoka dodoma mjini kwenda pale naul mia tano tu
Kina nyumba kabisa sema bado haijaisha
Kiwanja kipo pazur sana karbu na bara...
Kwa wale walioko mkoa wa singida nauza laptop slim jumper ssd card ram 6gb na hhd 64Gb ni bado mpya Tsh Tsh.450,000/= bado ipo naomba unione PM nitakupa namba ya kuwasiliana mie nipo singida mjini...
Gari inauzwa Noah toyota voxy T 703 DDP gari limetembea kilomita 131152 lipo kwenye hali nzur sana
Gari linapatikana mwananyamala manjunju
Bei ni shilingi million 6 kamili.
Mawasiliano
0719590756
*Sustainable cities company limited (SUCI )
Hii ni kampuni changa na binafsi ambayo imeanzishwa na vijana wa kitanzania ambao wapo katika sekta ya ardhi kwa muda mrefu na wameamua kufanya kazi na...
Apartment inapatikana GOBA, njia panda ya kwenda SALASALA (mtaa wa maghorofani)
Ziko apartment 6 kwenye compound
Imebaki apartment moja ya chini
Ina vyumba vitatu (1self contained), jiko LA...
Habari zenu waungwana,nahitaji viwango vya madirisha vile vya size ndogo mfano kama sm 36 kwa sm 45 je nitavipata wapi kwa hapa Dar ama mwenye kuhusika na vioo ani pm tufanye biashara
kiwanja eneo la buyuni karibu kituo cha mafuta cha Sheratoni
Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu.
Eneo bado halijapimwa
unaweza kuligawa likatoa viwanja viwili vikubwa...
Njoo sasa tukuagizie simu uipendayo kati ya Iphone, Huawei, Samsung, GooglePixel, Xiaomi na OnePlus kwabei nafuu kabisa pia utajipatia na ofa moja wapo utakayo itaji mteja kati ya wireless...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.