Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari za j2 wanajf Mimi ni mkulima wa maharage machanga/maharage ya kijani almaarufu kama GREEN BEANS na pia nauza kwa anayehitaji karibu nikuhudumie. Kg 1 ni tsh 2000 bei inapungua kulingana na...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
BEI ZINAZOENEKANA SIO ZA KUUZIA, ULIZA BEI. BEI ZETU HAIZIDI ELFU THELATHINI. SALAAM WANA JAMVI, VITU VYOTE NI VIPYA, KWA WALIOKUWEPO ZANZIBAR ITAKUWA RAHISI KUVIPATA.NA KAMA UPO NJE YA ZANZIBAR...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
nasafishaa taa za magari zilizo na ukungu pamoj na kung'alisha .. 0625571181
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau habar,natafta soko la asali, nnazo lita 1000,kwa yeyote mwenye kujua anaenunua asal kwa bei za jumla nnaomba kuunganishwa nae mawasiliano 0710925731/0766089646
0 Reactions
2 Replies
926 Views
Shamba lenye ukubwa wa ekari mbili linauzwa maeneo ya misungwi shamba linafaa kwa kilimo au kwa wale wa kukata viwanja wanakariishwa kununua na kudevelop kuwa viwanja bei ya eneo lote ni milion...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ndugu!!! Mm ni kijana nilieamua kuingia katika ujasiriamali na kwasasa natafuta sehemu ambapo nitaweza kufungua car wash yangu au open space nzur tu kwa ajili ya kujenga biashara hio...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
habari, jipatie sabuni original za shaza kutoka burundi sabuni ambazo hutumiwa na jinsia zote kwa wanawake na wanaume mpaka watoto,pia ni sabuni pekee zitazoweza kukusaidia kuondokana na matatizo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
KUNA PICHA AMBAZO HAZIKUTOKA VIZURI, NAWAOMBA RADHI KWA HILO, KWA HIVYO NITAKULETEENI PICHA NYENGINE . AHSANTENI
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu kwa yeyote anayefahamu mahali ninpoweza kupata WOOD PALLETS naomba kujulishwa asanteni!!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natumai jumapili yenu iko salama wakuu.. Naomba kujuzwa bei au aneuza min container Kwa DSM. Container lenyewe ni kama hili hapa.
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Brand: Massey Ferguson Model: 290 Engine Power: 80 HP 2WD Bei mil 22 mazunguzo yapo 0742228231
0 Reactions
2 Replies
1K Views
uun
Kiwanja kipo mwasonga madege km22,kutokea kibada.. its ugentry maji ya kisima baridi eneo linafaa kwa. Makazi,ufungaji wa kuku, mbuzi au kilimo cha mboga cha umwagiliaji kiasi ni upana 50 na...
0 Reactions
0 Replies
536 Views
PlayStation 2,inauzwa iko na pad moja be 70,0009 Napatikana dar, mkoani natuma pia
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nauzasimu yangu imetuka miezi miwili tu ,ipokwenye hari nzuri hainatatizo ,bei ni sh,200000 karibuni pm
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari bandugu...Wapi nawezapata Trey za bei nafuu....lakini pia wenye uzoefu wa kusafirisha mayai..Mnafungaje mzigo kwa kuanzia Trey Mia za mayai...?.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Viwanja vinauzwa Goba Kisauke Plot X mita 400 ndani toka barabara ya lami na kuna maji, umeme na 4G zote. Vimepimwa.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
HP inauzwa laki nne unachukua tsh400,000
0 Reactions
7 Replies
644 Views
laptop ni used baadh ya batani hazibonyezi ila mambo mengine poa kabisa betri masaa 2 ram gb1.5 hdd 160 maongezi yapo
0 Reactions
2 Replies
740 Views
Card hizi zinauzwa kwa bei ya kiasi cha shilingi laki nne kwa RADEON HD 7970 na GTX 770 (connector ya hdmi mbovu) kwa laki tatu za kitanzania. Location ni TABATA DSM. Ukihitaji nicheck 0763976109...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Xiaomi redmi 6 with ram 3gb rom 64gb used abroad still in a good condition utapata chaji na earphones bure delivery arusha moshi dar es Salam na shinyanga kwa mawasiliano piga 0787323047,0716338766
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom