Habari wakuu,
Naamini humu kila jambo linawezakana,
Nahitaji gari aina ya Land cruiser Prado new model, au gari yoyote iliyonyanyuka ambayo waweza itumia kwa safari za pori ukilinganisha na...
Pole kwa majukumu ndugu zangu
.
Ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa heka 4 .
Shamba Lina rutuba ya kutosha na linafaa kwa kilimo cha mazao aina nyingi, ni flat area.
-Shamba lipo KIA ni...
Habari ndugu zangu wote!
Tunakodisha vifaa kwa ajili ya live bend na live music ya aina zote, pia tuna bend kwa ajili ya burudani mbali mbali sehemu tofauti,
Tunapatikana majumba sita Dar es...
Habari!
Friji ndogo aina ya Hisense inauzwa, haina tatizo lolote, wala haijawahi kusumbua nipata dharula ndio maana naiuza. Ni ya mlango mmoja, ina sehemu ya kugandishia (freezer). Mpya dukani ni...
habari wakuuu kiwanja chenye ukubwa wa square 1200 kipo eneo zuri sana kipo barabara kuu ya kuelekea ziwani huduma za kijamii zote zipo maji umeme hosp schoos
kiko barabaran kinafaa kwa makazi na...
watu wengi wana mitaji ya kufanya biashara au kufanya fursa ya kilimo, ambayo fursa hiyo inafaida kwenye soko.
Lakini changamoto inakuja wengi huwa wanaanzisha nakuishia kwenye hasara badala ya...
Simu aina ya infinix smart 3 plus
Mpya kitu na Box lake kabisa
Ina week moja mtaani
Ram 2Gb Rom 32Gb
Android version 9
Model infinix X627
Location: Pugu ,Daresalaam
Bei ni sawa na bure wahi...
Make : TOYOTA
Model : Toyoace truck (RZY-220)
Mileage : 168,200km
Engine size: 1,990cc (1RZ)
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Manual
Drive : -...
Habari mkuu, naamini una aina ya gari tajwa hapo juu, sasa mimi nalihitaji ifikapo tarehe 23 Mwezi wa 9 mwaka huu kwa bei hiyo hapo juu bila senti. Nataka liwe na usajili wa C kuja juu. Liweze...
Kama kuchwa cha habari kinavyojieleza natafuta Kama kuna mtu amewahi kuregister na kupata Leseni ya biashara ya kukupesha hela Ila haitumii nahitaji aniuzie.
Au Kama mtu anaweza kunisaidia kupata...
PATA KILA KITABU KWA Tshs1000/= au vyote kwa pamoja kwa 10,000/=Tu na vingine vingi ikiwamo:-
-mapenzi
-ndoa
-urembo
-mapishi
-dini nk. Kwa lugha ya kiingereza vitabu hivi viko katika mfumo wa...
ALcobond (alluminium panel)ni aina ya board zinazotumika kwenye urembo wa majengo,kutengeneza mabango ya biashara, na matangazo tofauti.zenye upana wa mita 4 na urefu mita 8.Bei ni Tsh...
Greetings from Abby’s Legendary Caterers
We craft delicious gourmet dishes for catered events of 5 to 1,000 people or more.
Whether you are having meetings, seminars, workshops, construction camp...
Eneo lenye ukubwa wa square meter 10,000 lipo karibu na ziwa yaani ukisimama kiwanjan una view eneo la ziwa kwa uzuri zaidi lina nyumba ndani yake kama tatu mawe ya kutosha kwa ujenzi na kwa kuuza...
Tunauza mifuko ya sembe kwa gharama nafuu sana na ikiwa katika ubora wa hali ya juu.
Lengo letu ni kufanya kazi na wazalishaji wa sembe wa chini na wa kati ili kuongeza thamani za bidhaa yao...
kiwanja eneo la buyuni karibu kituo cha mafuta cha Sheratoni
Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu.
Eneo bado halijapimwa
unaweza kuligawa likatoa viwanja viwili vikubwa
Bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.