Nauza iphone 7 plus
Colour: black
Condition: used lakini haina scratch hata kidogo.
Storage: 128 gb
Ram: 3 gb
Ina 9D screen protector na cover mbili
Bei 800000/= Tzs
Location Mwanza
Kwa...
Nauza decorder za TNG ,Star times na Gtv zote zimetumika
TNG. Hi decorder in nzima lakini smart card haina.
Star times . in nzima na INA smart card take
GTV. Nzima sema hii kampuni haipo hapa...
Wakuu kwema?
Ni kiwanja chenye ukubwa wa 962 square meter kilichopo mtaa wa michese jijini Dodoma
Kiwanja kimepimwa na tiari ramani ya mtaa ipo kamili,kipo jirani na shule ya msingi michese na...
Habari wakuu na poleni na mihangaiko ya maisha. Tusikate tamaa tuzidi kumwomba Mungu afungue milango ya baraka.
Kwanza nashauri kwa watu wenye watoto wadogo kwamba sio vema sana kuanza...
Habari nko mkoani nmejikusanya nataka kufungua duka la computer sasa nataka nije dar next week wap ntapata mzigo wa jumla kwa bei rahisi na kwa usalama
Waitaji nyumba yako iwe na mwonekano mzuri kwa kuchora maumbo mbali mbali yaonekanayo kama wallpaper tucheki gharama ni nafuu zaid na inadumu kwa muda mrefu
Tunafanua kuta mbili kwa 170,000...
Nawasalimia wote,
Kwa mara nyingine tena napost kuwasogezea fursa.
Kwa wale wanaopenda kuwekeza kwenye fursa za biashara ya kutengeneza vigae vya kupaua nyumba.
Niko na vifaa ambayo utaweza...
Hii ni habari nzuri kwa wasimamizi wa miradi, maafisa miradi na wadau wote wa mambo ya miradi. Furia Consulting Ltd tunachukua fursa hii kuwataarifu wadau wote wa sekta ya usimamizi wa miradi...
ASANTENI. SIMU IMESHAUZWA!
MODERATORS: NAOMBA MFUTE TANGAZO HILI
Simu ina muda wa miezi miwili tu toka inunuliwe. Ina hali nzuri sana MashaAllah
1. Ram 3GB
2. Internal Memory 32GB
3. Battery...
Habari ndugu zangu! Nilikua nahitaji pump ya maji ila iwe used kwenye condition nzuri. Bei iwe at around 70,000. Alieynayo na anauza tuwasiliane kwenye 0712220207 au 0767173885. Ahsanteni
Wakuu pole na majukumu.
Naomba kwa anayejua bei ya vitu ya SCOUT/SKAUTI mashuleni.
Mfano.
Zile hankerchief(vitambaa) zao ni Tsh ngapi?
Kofia
Tisheti n.k,
Na nkivitaka naweza vinunua kwenye...
MBINU 10 ZA UHAKIKA ZA KUFAHAMU KIINGEREZA/ENGLISH KWA MUDA MFUPI
Kujifunza lugha mpya kunaweza kuwa ni kugumu, lakini inawezekana. Je unatamani kufahamu na kumudu lugha ya Kiingereza kwa muda...
*NAOSHA MASINKI*
naitwa Lisa ni mwanafunzi wa mwaka wa pili.
Nasafisha masink na tiles zenye uchafu sugu na zilizofubaa Yaani kushindikana kabisa.
[emoji818]Sinki la choo cha kuchuchumaa Sh...
Kiwanja kiwanja kinauzwa nusu heka, ukita hatua unakatiwa kiasi kulingana na bajet yako tunakata kuanzia milion 5 kwendelea, nusu heka bei ni 18 kuna nyumba ndani haijaisha,Maeno ya Kigambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.