Kwa yeyote anayelijua duka kwa Dar ambalo naweza pata laptop yenye vigezo hivi naomba mawasiliano ya dukani please ,nahitaji laplop kwa ajili ya gaming ,budget yangu isizidi 370000
.9th...
Mi nimjasiliamali mdogo ninae jishughulisha na ujasilliamali mbalimbali ikiwemo hii ya kufuga kuku wa kisasa hasa wa nyama!! Lakini ningependa kuona na kutazama mbele zaidi kwa maana sijaridhika...
Maeneo ya Sayansi hadi Moroko, kiwe kinafesi lami Alhasani mwinyi.
Madhumuni ni kujenga supermarket, ukubwa usipungue 2000sqm
Njoo na ofa yako mezani tujadiri.
Maongezi zaidi wasiliana nami...
Salaam..
Natafuta nyumba nzuri ya kupanga maeneo ya Mikocheni, Dar. Muhitaji ana familia so inahitajika iwe ni ya vyumba viwili, sebule pamoja na jiko.
Muhimu: Isiwe mazingira ya uswazi na bei...
Iko vizuri sana na inanyoa vizuri bila hata kupiga kelele Original kabisa kwa wanauzijua watakubali Imetumika muda mchache Bado mpya kabisa Call & whatsppp 0764 876888 Bei ya kutupa
BEI 55,000/=...
House 4 Rent Kigamboni
[emoji117]4 Rooms with master room
[emoji117] public Toilet
[emoji117]sitting Room and dining
[emoji117]kitchen
[emoji117]Fence&Parking
[emoji117]slide windows...
Nyumba ipo Mikocheni B Dar es Salaam
Ina vyumba kumi (10) inaweza tumika kwa makazi au Office
Full AC vyumba vyote
Ina parking kubwa
Ipo ndani ya Fence, Garden nzuri
Bei ni USD 2000 kwa mwezi au...
Inahitajika piki2 aina boxer ambayo ilikua ikitumika kwa mtu kam usafr wa binafsi plate no njano iwe na hali nzuri au km imefanyia biashar isiwe imezid miez 10 pia iwe katk hali nzuri bajeti ni...
Habari Mpya Kutoka Sirione company Limited, Tunajihusisha na kuuza, kusambaza , kufunga na kutengeneza air conditioner, coldrooms na chiller, Nunua kwetu air conditioner na uufungiwe Buree kabisa...
Wajameni,
Kiti, meza, unaweza tumia ofcn au home kwako, vimetulia, yaani classic kabisa, vimetumika kidogoo tu..ubora 99.9%
Bei 350,000 (kiti na meza kwa pamoja), hutoipata hii bei popote pale...
Nauza Smartwatch na Fitness Tracker za aina mbalimbali kwa bei tofauti tofauti.
Fitness Tracker zinapima Mapigo ya Moyo, Blood Pressure, Blood Oxygen, Steps, Calories Burnt, distance covered...
NAUZA KOROSHO KWA BEI YA JUMLA NDIO MALI YANGU HAKUMA UDALALI
Nina korosho nzima zishafanyiwa vaccum pack kila kilo ya korosoho ni 17000/= ((kuna vipande vya korosho pia bei inatofautiana)) piga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.