Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Jipatie line ya mpesa kwa sh 120000 maongez pia yapo Contact 0768647162 -Dsm
0 Reactions
5 Replies
850 Views
kimeshauzwa tayari- Asante kwa ushirikiano
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Nilileta tangazo la kuuza kiwanja , lakini hajatokea mdau yoyoye wa kuweza kuniikoa. Kiwanja nakiiuzia shida inayonikabili ili nikaitatue. Nilitaka kukiuza kwa bei ya millions 6, lakini sasa...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa kipo chanika kwa mbiki: ukubwa- 30*30 sqm. Umbali- hakipo mbali na Barbara kubwa. Huduma- maji na umeme vinapatikana. Kiwanja kina hati ya serikali za mtaaa. Bei: milion 3...
0 Reactions
3 Replies
825 Views
Iko na hali nzuri Inakaa na chaji, video unaangalia hadi masaa 10 Nimeupdate inarun android 8.1 Ukihitaji nakuletea mpaka ulipo uikague
0 Reactions
1 Replies
470 Views
Habari zenu wakuu, Kwa uhitaji wa kununua gari used Tanzania, yaani gari za mikononi, Wasiliana nami, Leta oda yako kama sina nitakutafutia, kikubwa uwe na utayari na hela iwepo, Ndani ya siku...
8 Reactions
765 Replies
173K Views
natafuta gari ya kutembelea isiyozidi m6 na isiwe vitz au passo je kuna tofauti gani ya gharama ya kuagiza gari used japani na kununua hapa Tanzania na je nasikia kuna tofauti ya riba kati ya...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Baada ya kuamua kuingia katika upande wa pili ili kukuza kipato Mara dufu zaidi (kilimo) kuna upande wa kwanza nahama (biashara ya kukaa sehemu moja)/nasitopisha kwa muda sio kwa kufeli ila kwa...
2 Reactions
64 Replies
10K Views
Wapendwa wana JF tuna watangazia kuwa Yes Tanzania na sie tuna uwezo wa kusabaza vitu uhakika kwa bei nafuu... tupo barabara ya Uhuru Kariakoo Dar Mkabala na Benjamin Mkapa School.
2 Reactions
3 Replies
7K Views
Karibuni nyumba yenye mabanda ya kuku pembeni inakodishwa tegeta masaiti inavyumba viwili ndani,choo na bafu, sebule na dining pamoja na nje Ina servant quarters ya vyumba viwili.chumba cha nje...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hello habari za muda wakuu Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu hakuna haja ya kuongeza chumvi wala nini RAMS zipo sokoni specification kma ifuatavyo Specs....... 1. Application Desktop 2. 8GB=...
0 Reactions
1 Replies
516 Views
Ewe mwanamke unapokwenda kwenye duka la vifungashio,iwe kununua chupi,blazia,nightdress n.k. Ni muhudumu yupi utapenda akuhudumie kati ya Mwanaume au Mwanamke !!! Kwanini akuhudumie...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Iphone 6+ 64GB BRAND NEW BOXED 550k bei kwa offerya Eid. Contact for serious business +255653203123 SOLD
0 Reactions
1 Replies
456 Views
Iphone 5 16gb Used like new Kwa 150000
0 Reactions
3 Replies
781 Views
Wakuu natafuta mteje wa karafu. Mzigo ni zaidi ya kilo 500 Asante. Kwa mawasiliano zaidi njoo PM
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ni nyumba ya kisasa ya ghorofa moja imekamilikaipo sokoni , inauzwash 130 milioni, nyumba ipo kigamboni mji mwema, imefanyiwa hatua za awali kupata lesseni ya makazi hivyo mnunuaji atamalizia...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi akionyesha magari yatakayotumiwa wakati wa mikutano ya wakuu wa Nchi na Serikali katika Nchi 16 za SADC...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Panel 24v watt 200 zipo mbili kila moja tsh 200,000/= Inveter watt 1000 puresine wave watt 1000 volt 24 bei Tsh 150,000/ Location Mtoni kwa Azizi Alli Dar es Salaam Simu 0717698515
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mbona sijaona sehemu wanapouza kitimoto kati ya Posta na kariakoo
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Gari aina ya noah super custom ipo vzur haina tatizo lolote inauzwa kwa sababu kuna hela inahitajika kwa haraka bei ni 3.5 milion Gari ipo dodoma maeneo ya kikuyu Mawasiliano 0692477837 au...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom