Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nunua Computer yenye Uwezo kabla Hujaenda Chuo... Pata Laptops kwa bei Chee 0742470059 HP's EliteBook Folio is like a MacBook that runs Windows. HDD 500GB RAM 4GB Core i5 Long Life Battery...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Samsung Galaxy Grand Prime Plus *Price : 160,000/= *Contact: 0684466579 *Simu iko katika hali nzuri sana *SIM: Hybrid Dual SIM (Double line) *Display: 5.0 inches *Memory: 8 GB, 1.5 GB RAM *CPU...
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Habari! Nyumba nzuri ya familia inapangishwa Makongo - Juu. (Daladala Dk 15 kutoka Mlimani city) Nyumba ina vyumba viwili, kimoja master, sebule kubwa, jiko kubwa na choo cha public. Tiles...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Niaje wazee, Nimefungua duka jipya maeneo fulani hivi, nahitaji kujua kuhusu vifaa vya kupimia pombe kali kama konyagi, nahitaji kutoa na hiyo huduma pia. Niliviona maeneo ya magomeni pale...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau habari za Jumapili, Mimi ni mkazi wa mkoa wa Mwanza. Kuna huu mradi wa maji unajengwa kutokea Igombe kwenda Ilalila, Isela, Masemele na maeneo mengine katika wilaya ya Ilemela. Huu mradi...
2 Reactions
18 Replies
14K Views
Bei: 9m Location Dodoma Nauza kwavile nimeagiza gari nyingine hivyo natafuta hela ya kumalizia Ushuru Mawasiliano 0752140001, 0715140001
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Anae hitaji nauza tecno spark3 pro gb 32 nna shida naitaji mteja fasta iko full na kila kitu chaji phone risiti call me 0745444713 location dar temeke
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Hi dears, Nauza au tubadilishane kiwanja, plot yangu ni ndogo ina mita 10 kwa 10 ipo Kisarawe mjini, nataka nimeweka kibanda pia nipo mbioni kuvuta umeme. tuwasiliane kupitia namba hizi 0774110001
0 Reactions
3 Replies
964 Views
Habari wadau,nauza gari used la toyota hilux double cabin kama mnavojua kwa wataalam wa magari jinsi haya magari yanavyopiga kazi na uwezo wake mkubwa wakutumika kikazi zaidi. Contact #+255 767...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Storage gb 16 Clean condition Price 400000/=Tsh Whatsap / Call 0752396052 Location : Tabata
0 Reactions
0 Replies
294 Views
Storage gb 16 Clean condition Price 400000/=Tsh Whatsap / Call 0752396052 Location : Tabata
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Jamiiforums jamvi la great thinkers Naomba kushauriwa Nataka kununua gari ya kutembelea isiyozidi M 6 Ila isiwe vitz,passo,. Ushauri mwingine naomba kujua kuagiza gari used Japan na kununua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Waungwana nina Xbox one ambayo kwasasa inatatizo. Tatizo lake ni ukibonyeza button ya power inakuwa on kwa sekunde chache, kisha inajizima kabla haija anza play. Naomba kujua wapi nawezapata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KATIKA MSIMU HUU WA SIKUKUU ZA IDD TUNAKUSOGEZEA KARIBU YAKO* *JIPATIE NAFAKA ZENYE KIWANGO BORA KABISA* 🌽🌽🌽🌾🌾 @ *MCHELE SUPER KUTOKA MBEYA TSH 1800/KG 🌾🌾🌾 @ *MAHARAGE SAFI YA NJANO TSH 1800/KG...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa! Nauza simu yenye maelezo yafuatayo: 1. Aina: Sony Experia 2. Model: F3111 3. Rangi: Nyeupe 4. RAM: 2GB 5. Internal storage: 32GB 6. Network: 2G|3G|4G/LTE 7. OS: Android 7 8...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza fridge yangu ninayotumia mwenyewe nimetumia yapata miezi 8 hadi sasa...bado iko makini Ni fridge ya saizi ya kati..mlango mmoja Picha itajieleza zaidi hapo chini... Bei 235,000 #0654715457...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni wapi nitaweza kununua decorder ya bein sport...kama kuna mwenye link plz naomba
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Muda umeisha, waliokuja inbox nitawakabidhi Bp zenu ijumaa saa 5 asubuhi, kama ulikuwa hujatuma details tuma na email bila kusahahu.
1 Reactions
27 Replies
2K Views
*SHAMBA LENYE KILA KITU NDANI* . . *NYUMBA YA KISASA YENYE KILA KITU* *NYUMBA ZA KOTA 4 SELF CONTAINED* *SHAMBA LINA EKA 45, KATIKA IZO EKA,KUNA EKA 2 MITI AINA YA MIKARATUSI NA EKA, EKA 2.5 MITI...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
[emoji736] Location: Salasala Mwisho wa Lami [emoji736] Ukubwa : 960sqm (plot) [emoji736] Distance from lami : 180metres [emoji736] Rooms : 5 (Master Bedroom Included) [emoji736] Toilets : 5...
0 Reactions
3 Replies
599 Views
Back
Top Bottom