Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wakuu za mida Kama mada husika hapo juu.... Anaehitaji mboga za spinach kwa wingi anitafute
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anae uza Mahindi Tafadhali mwambie ninauhitaji wa Mahindi tani 200 au kama ni ww nipigie 0677647899 Tuweze kufanya Biashara
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari! Viwanja vinapatikana, Madale Mbopo (Mwendo wa DK 30 kutoka Round about ya Madale). Viwanja vinapimwa kuanzia Square Meter 20x20... Bei kwa kila square meter ni sh 13,000/ TZS.. Mteja...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Nauza mayai ya kienyeji Trei 15,000/- Tunapatikana dar, utaletewa ulipo Karibu sana
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Kiwanja kipo dodoma eneo la kisasa Dodoma kina ukubwa wa sqm 3875’ kina Hati kubwa na eneo la Biashara 0677647899
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu. Ninauza kiwanja changu kilichopo eneo linaitwa butiama (sehemu maarufu kama kinondo) ndani ya kata ya mabwepande. Lipo umbali wa kama km 10 kutoka Bunju A. Bado hapajapimwa lakini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu, Ninauza modem ya halotel 3G bado mpya kwa Tsh 20,000/- (ingawa inauzwa Tsh 30,000/- dukani), sababu kuu ni kuwa nimenunua simu yenye uwezo wa 4G ambayo naitumia sana kwa sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu iko vizuri kabisa haina tatizo lolote Internal memory 32gb Camera 16mp/5mp Android 7 Bei 250K maongezi yapo Whatsapp 0620640373 Ipo iringa
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Shamba liko Masama rundugai kijiji cha Longoi. Lina miundombinu ya umwagiliaji (siyo pori) Bei ni 30ml lakini negotiable PM kwa maelezo zaidi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo Mbeya , wapi napata laptop used ,ambazo bado utunzaji charge uko Safi ,mwonekano mzuri na storage angalau 500 gb kwenda juu.
0 Reactions
3 Replies
596 Views
Habari wanajf Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji roommate wa kike tushee room pamoja ili kusave gharama za kodi Room ni nzuri na standard Mhusika akiwa hana vitu vingi au hana kitu...
0 Reactions
10 Replies
917 Views
Kwa uhitaji wa viwanja, mashamba , vyumba na nyumba dodoma mjini upande wa mgharibi kikuyu,mkonze na kuendelea Mawasiliano 0746402586
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jumuika nasi tarehe 12 August 2019 kwa ajili ya safari ya kwenda kuwaona dolphin wakiwa baharini na kuogelea nao 😃 Makutano ni Forodhani Park, Zanzibar saa 1 kamili Asubuhi! Bei ni 25,000 tu kwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
HABARI WADAU, KWA YEYOTE MWENYE UHITAJI, NAUZA LAPTOP AIN YA HP PRO BOOK SIFA ZAKE - CORE i5 -HARD DISC GB 500 -RAM GB 6 -PROCESSOR 2.53GHZ -WEBCAM -CD/DVD RWR -BADO IPO KATIKA MAZINGIRA MAZURI...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Offer ya jumapili hii. Kama upo mbeya na wilaya jirani. Used Hi-fi Kodtec subwoofer yenye speaker 2 (range). Kwa 90 tu + free delivery mbeya mjini. Njoo uione ipo KABWE
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu Naombeni mnielekeze wapi nitapata NCR 18650B battery maana aliexpress na Ebay siku hizi hawaship Ii-ion battery.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wadau, nina uhitaji wa cabin complete ya scania g420 highliner haraka.Ama kama unaouwezo wa kuiimport pia ni sawa.Kama unayo ama unaweza basi kuiagizia nitafute tuongee vizuri 0715436360
0 Reactions
0 Replies
756 Views
wadau ninauza tv yangu ya inchi 24 kwa laki 2 (200,000tsh) .Kampuni ni homebase.Iko vizuri haina tatizo lolote.Iko dar kigamboni.Kama utakuwa interested nicheki kwa 0715436360
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Flash-kingston 32gb 25,000/= memorycard-sandisk 32gb 20,000/= Tupo Tegeta Kwa mawasiliano tucheki 0783899412
0 Reactions
170 Replies
12K Views
Back
Top Bottom