Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
NYUMBA INAUZWA IPO DAR ES SALAAM TABATA LIWITI SIFA ZA NYUMBA HII INA VYUMBA 4 """""""""""""""""""""""""""""""""""""" @Vyumba 2 master @vyumba 2 vinatumia public toilet @vyumba vyote makabati...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
(1)Kilomoja ya mzigo kwa kutumia usafiri wa ndege kutoka china kuja Tanzania ni dola ngapi?. (2)Kilo moja ya mzigo kutoka dubai kuja Tanzania ni dola ngapi?. (3)Mzigo mdogo ambao ni sawa na...
1 Reactions
15 Replies
16K Views
Wadau Habari za jioni. Nahitaji msaada wa kupata used shipping container ya 20ft Niko mawasiliano 0621691776
0 Reactions
0 Replies
658 Views
habar zenu wanajf...tunauza nyumba yetu ipo tanga mjini mtaa wa kwanjeka..inavyumba vitatu chumba kimoja kina sebule. Ina Jiko la nje na inamilango miwili ya biashara..maji na umeme vipo full...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu nataka ninunue continetal decoder nimeona tangazo lao jinsi ya kufunga king'amuzi chao nahisi wapo vizuri sana Vipi ubora wa picha? Vipi channels inadi yake? Vipi movies za kimataifa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
ALcobond (alluminium panel)ni aina ya board zinazotumika kwenye urembo wa majengo,kutengeneza mabango ya biashara, na matangazo tofauti.zenye upana wa mita 4 na urefu mita 8.Bei ni Tsh...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rachel online moving shop,nakuletea hereni kwa bei poa,heren nzuri za kisasa,unavaa popote iwe kwenye sherehe,kazini,kanisan n.k Na unavalia nguo yyt. Bei:tsh.6,000 kwa pear Cal/watsap:+255...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
kwa anayejua zilipo tuwasiliane kwa namba 0620418474
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale wapenda amani na walio guswa sana na maswaibu yaliyo mkuta mtetezi wa haki za wanyonge hapa nchini mh Lissu tukutane Airport kumpokea mkombozi wetu na anasema yupo tayari kurejea.
15 Reactions
70 Replies
6K Views
Wapo ng'ombe watatu, mmoja kati yao mkubwa wa kwanza ana mimba ya miezi mitano, wengine wawili jike na dume size ya kati, hivyo wote hawa nawauza kwa sh milioni 1.9 tu, wana uwezo kutoa lita 12-15...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
*****†********
1 Reactions
1 Replies
419 Views
CHEREHANI YA KUTUMIA MKONO Bei ni TSH 20000 yenye ukubwa wa _Stepler pin machine_ ambayo unaitumia kushona palipochanika/kufumuka kwa urahisi. Inashona kama cherehani ya kawaida...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaj lens ya deki hiyo aina singsung mweny nayo anicheki namba hii 0657047088
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba ina vyumba 4 vyote ni self, Size plot 2300 sqm Nyumba imefes lami inayoenda whites and hotel Na pia iko jirani na Giraffe hotel Panafaa kujenga Hotel,Apertment, supermarket, huduma za...
2 Reactions
103 Replies
13K Views
habari, jipatie sabuni original za shaza kutoka burundi sabuni ambazo hutumiwa na jinsia zote kwa wanawake na wanaume mpaka watoto,pia ni sabuni pekee zitazoweza kukusaidia kuondokana na matatizo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wapi naweza kupata mifuko ya karatasi mbadala wa hii ya plastic iliopigwa marufuku? Natafuta mifuko ya kutumia kwa wateja wangu. Hamna mtu aliechukua hii fursa? Mwenye nayo tuwasiliane
1 Reactions
28 Replies
10K Views
Kwa wakazi wa mikoa ya nyanda za juu kusini tumewaletea tovuti ambayo itawasaidia kuuza na kununua bidhaa yoyote bure mtandaoni.Kutangaza biashara,huduma,kazi,mazao ya chakula nk Na hii huduma...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
CHEREHANI YA KUTUMIA MKONO Bei ni TSH 20000 yenye ukubwa wa _Stepler pin machine_ ambayo unaitumia kushona palipochanika/kufumuka kwa urahisi. Inashona kama cherehani ya kawaida...
2 Reactions
1 Replies
920 Views
HP's EliteBook Folio is like a MacBook that runs Windows. HDD 500GB RAM 4GB Core i5 Long Life Battery Mikoani Tunatuma UDOM-TECH OFA 0742470059
0 Reactions
1 Replies
494 Views
Back
Top Bottom