Habari zenu wakuu...
Naomba ambaye ni muuzaji wa vifungashio vya vichupa kuanzia gram 80,100,250 na kuendelea naomba tuwadiliane..au Mtu ambaye añae fahamiana na muuzaji naomba unijuze..
Mfano wa...
Je unahitaji king'amuzi Cha startimes? Basi kwangu umepata... Ni king'amuzi Cha antenna na kinaonyesha channels zote local... Kinapatikana kwa Bei ya tsh 45000 tu... Nitafute kwa namba 0654388979...
KARIBUNI BBS TRADERS ,
**DUKA LA VIFAA VYA UJENZI** (BUILDING MATERIALS)
Mahali: Kariakoo, mtaa wa Nyamwezi na Lindi
**Tunauza vitu vya ujenzi , finishing materials, na kadhalika. **
Baadhi ya...
Wandugu, habari ya asubuhi? Shida yangu ni kwamba dispense yangu haipoozi. Maji ya moto ninapata vizuri tu ila sehemu ya maji baridi ndo tatizo. Ninaishi kimara bonyokwa. Fundi anayeweza kulitatua...
Gari iko vizuri
Njoo uione ujiridhishe
Muuzaji ndio mmiliki haina udalali.
Bei inaongeleka
Mazungumzo yote kwa simu tafadhali 0717221222.
Milioni Tano (5,000,000)
Kwa mkopo mrahisi wenye riba nafuu zaidi usio na ubabaishaji wa aina yoyote ndani ya dakika tano ,Tala ndo jibu lako
Cha kufanya ingia playstore kisha pakua app ya Tala Tanzania
Baada ya hapo...
Wakuu nataka nishushe chuma cha 2009 watoto wa majini wanalita tako la Nyani
Huku Wajapan wakiliita Toyota harrier
Hili ndinga thamani yake ipo vipi nitakapo pishana na wauza poda wenye V8...
Hello guys 👋👋
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji studio ambayo bado wanasafisha picha za negative/mkanda kama zamani. Muhimu sana jamani so kama kuna sehemu/mtu unaemfahamu hapa Dar...
"Asalaam alaykum warahmatur-lah wabarakatuh"
Baada ya salam sina Budi kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na mwenye kurehemu ,
Mimi sina mengi ila Nina machache yenye faida kubwa sana ndani...
najua wakati mwingine ni vigumu kupata muda wa mazoezi kutokana na ubusy wa kazi,lakini sasa itabaki kuwa uamuzi wako
jitahidi upate angalau dkk 30 kila unaporudi au kuamka asubuhi kwa sababu...
Jenga bio digester kwa 1.2m only, vifaa vitakavyotumika ni juu ya mteja na utanunua popote unapotaka chini ya usimamizi makini wa kampuni.
Dhamana miaka 5
Faida
1.Hutumia eneo dogo
2.Haihitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.