Haipo katika hali mzuri kwani Iligonga mti na kuharibika show ya mbele kioo na Rejeta
Sio Pickup Original Lakini imekatwa kwa ustadi Mkubwa sana na kuwa Pickup,
Engine ni Petrol main 3, Ina...
Habari wana jf nauza shamba langu lipo mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa kijiji cha changarawe karibia na kijiji cha miyombo.
shamba linaukubwa wa heka 3 shamba lipo tayri kwa ajili ya kilimo cha...
•Simu ni mpya bdo;ipo very clean
•Hii simu ina features za iphone 6s na inauwezo kushinda iphone 6.
•Camera yke balaa(12mp,ina shoot,slow motion,time lapse,4k videos,e.t.c)
•Ina A9 chip ambayo ina...
Mwenye kioo (screen) cha simu aina ya Samsung Note 2 au Samsung J7 naomba aniuzie...Taja bei yako tutaelewana...Biashara ni maelewano.
Kiwe Dar es Salaam turahisishe mambo.
APARTMENT FOR RENT ON FIRST STOREY @ MAKULU
[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]...
P
Male shirt clothing
New brand from italy
More than 300k pieces
Colour ... Blue,Black,White,Green and Red
Size L,XL.
PRICE 15,000 TSH Rejareja
JUMLA 13,000 TSH
CONTACT 0652 434 383
Habari! Je una wasiwasi na unataka kujua au kuona nini kinaendelea nyumbani/dukani au eneo lako la biashara? Je unatamani kuwa na kamera za uangalizi lakini unaogopa bei kubwa? Ondoa shaka sisi...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.Nina dola Hizo zipo bank namie nipo Mwanza aliye na shida anicheki twende bank nichomoe nimpatie naye ananipa Hela naweza bank. Bei ni 2310 kwa kila dola. Nina...
Habari za muda!
Naomba kujua bei ya pamba ghafi isiyo na mbegu kwa hapa Tanzania ni Tsh. ngapi kwa Kilo?
Je, kuna uwezekano wa kuisafirisha kutoka mashambani mpaka mkoa wa Dar?
Habari za weekend wadau.
Pole na majukum ya weekend ndugu zangu. Wakuu nilikua naomba kama kuna mtu anafahamu sehemu ambayo nitapata chumba single room ambayo iko standard maji na umeme mazingira...
Habari!
Naomba kujua kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji sufi au manyoya yanayotokana na mti aina ya msufi kwa hapa Tanzania inapatikana wapi. Nitafurahi na kushukuru endapo...
ndugu zangu habarini ya jumapil? naomba mwenye kujua bei za ma tank ya maji kama ya sim tank, poly tank nk. ni kwa mahitaji ya nyumbani tu. ujazo kuanzia lita 1,500-2500
nyumba inapangishwa maeneo ya tabata kiskulu,ina vyumba vitatu,master bedroom,sitting room,jiko,250,000 kwa mwezi,kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia 0784355363
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.