EDPOS ni mfumo uliotengenezwa na vijana wa Kitanzania ambao upo mahususi kwa ajili ya kusimamia biashara yako. Biashara ambayo inawezwa kusimamiwa na huu mfumo ni kama vile: -...
Wakuu Nahitaji Gari Tajwa Hapo Juu. Sijali Reg. No., Najali Hali ya Gari. Budget 20M.
Contact: 0754754593
CC: Master of the game BANGO JEUPE Njalaliko kwadilo griffin2 NAJIDAKIA STORE MAGARI7...
Kwa mahitaji ya Live Band karibu saana upate burudani nzuri kutoka kwetu, tunaimba nyimbo aina zote (COPY) tunapiga katika event yoyote. Lounge / Grill, Hotel / Bar, Beach / Club Harusi / send...
Waungwana, habari zenu! Ningependa kujua kama kuna kampuni, duka au kiwanda nchini Tanzania kinachouza na /au kutengeneza vifaa vya kihaidroliki kama hydraulic pumps, solenoid valves, hydraulic...
Tafadhali mwenye kuja naweza kupata wapi dawa hii BUTALEX anitaarifu tuwasiliane. !
Direct me to a shop where it is available! Kuna akina Butaline, parvoquone, etc but these are not original...
Kwa mahitaji ya Live Band karibu saana upate burudani nzuri kutoka kwetu, tunaimba nyimbo aina zote (COPY) tunapiga katika event yoyote. Lounge / Grill, Hotel / Bar, Beach / Club Harusi / send...
Sina mengi ya kusema kama title inavosema naitaji msaada nipo inje ya ich kwa mawasiliano nitafute kwa email Adress yangu saidiabaheya123@gmail.com shart vitu kilakitu kiwepo dani
Sent using...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni mjasiriamali nayejishughulisha na biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam ambapo nimefanikiwa kuwa na maduka mawili katika sehemu mbili tofauti hadi...
Habari wana jf nauza shamba langu lipo mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa kijiji cha changarawe karibia na kijiji cha miyombo.
shamba linaukubwa wa heka 3 shamba lipo tayri kwa ajili ya kilimo cha...
Nyumba inapatikana wilaya ya Ilala, kata ya Msongola (eneo la Msongola)
Ni unfinished house
Eneo la kiwanja ni meter 30*25 (sqm 750)
Ina vyumba vinne (viwili ni master bedrooms)
# studying room...
Habari wakuu na mgahawa wangu wa chakula, sasa nataka kuanza kufanya deliverly kwa wateja wangu, so kwa yoyote anaye jua jinsi ya kuweka chakula vizuri mbaka kina mfikia mteja katika hali mzuri na...
kiwanja eneo la kwa chikira
Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu.
Eneo bado halijapimwa
unaweza kuligawa likatoa viwanja viwili vikubwa
Bei ni 12,800,000/=
umbali wa...
Habari ya asubuhi wakuu?
Nahitaji supplier anaeweza kuniuzia roller kubwa za machine za EFD za kwenye vituo vya mafuta. Awe na uwezo wa kuni supply zaidi ya PCs 1,000 kwa mwezi. Tafadhari kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.