Tunauza samaki Sato rejareja Tsh 10000/= kwa kilo jumla 9500/= Sangara 7000/= kuku wa kienyeji 20,000/=
Tunapatikana kijitonyama karibu na kijitonyama Filling station
Karibuni
vipi hali wana jukwaa ni imani yangu munaendelea vyema na harakatu zenu za kila siku.
ninauza smartwatch kwa bei ya shilingi 55,000 tu ya kitanzania.
kupitia smartwatch hizi utakua na uwezo wa...
Salamu wakuu. Natafuta eneo zuri la kufungua biashara ya kuosha magari.
Hata kama kuna mtu anapangisha naomba tuwasiliane.
Mimi nipo Dar na biashara hiyo nataka kuifungulia hapa hapa...
Laptop ipo kwenye hali nzuri ina 320gb hdd 3gb ram kioo 15.6 inchi
Proc. 2.3ghz
DVD RW
Charge 1hr
BEI 200000 Mwisho kabisa 170000.
0657427793 Serious Buyers Only
Bajaj Toleo la kampun ya Sinoray
Full registered ( Reg date: 20 July 2019)
Imekatiwa Bima ya mwaka mzima ( July 2019 to July 2020)
Used, kwa maana ya kwamba iko barabarani kwa week 3 toka...
Ninatafuta kiwanja cha makazi maeneo ya mbeya mjini cha bei nzuri eneo la KALOBE, ITENDE, IYUNGA, NZOVWE, NA MAENEO YA KARIBU CHA KUANZIA MILIONI 2 HADI 2.5
Wakati wengi wakiwa na mategemeo ya Azam kuonesha EPL siku zijazo hawa jamaa wa DSTV wanazidi kukaba kila angle, sasa hivi wamechukua Champioship football, hili ni daraja la chini ya EPL. Mshindi...
Hormone hii inahusika na mambo yafuatayokuufanya uume uwe imara.kucontrol kukojoa wakat wa tendo i mean mshindo.kucontrol kusimamisha uume kwa haraka na kwa mda mrefu, kuamsha sponge never kwenye...
Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye taaluma ya umeme wa majumbani,nafanya wiring,na pi kurekebisha hitilafu kwenye nyumba,na pia natoa ushauri kuhusu maswala ya kiumeme.kwa mawasiliano...
Kwa mara nyingine @weaccesorieshousetz tunakulete smart watch nzuri sana na zenye kukutimizia mahitaji yako hasa wale watu wako busy basi suluhisho limepatikana
Specifications zake
Unaweka line ya...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naitaji vitz R's namba D nzuri lazima iwe imetengenezwa kuanzia 2003 Kuendelea,, gari nzima hasa budget yangu milioni 6 kama unayo nicheki kwenye...
Mtambo huu unatumika maeneo yalio kosa huduma ya umeme mtambo huu wa mashine ya kunyolea na kichajisha simu unahamishika
*Mtambo huu unauwezo wa kunyoa watu 10-12 kwa ukubwa huu,
*Ukikosa...
Brand- Cummins Power generator
Capacity-38kva
Price- mil 17.5 also negotiation allowed
Location-Kigamboni Mikadi
Kwa anayehitaji ani Pm tufanye biashara.
Lengo ni wewe upate kiwanja pengine mwisho wa mwaka huu uwe umeanza kujenga
kiwanja hiki ni kizuri kwa kujenga nyumba ya kuishi au ya kupanga maana ni karibu na na panafikika kirahisi wakati...
Nikiri kuwa sijatembelea shopping center nyingi ila kuna vigezo ambavyo nimevizingatia hadi kuja na tamko hili kuwa Kibo Complex ndiyo shopping center bora zaidi Dar es Salaam.
1. Utulivu - Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.