Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
electric motor generators ni teknolojia ambayo umeme uwezi kukatika wala kuisha labda uzime wewe tu. teknolojia hii ni mapinduzi makubwa ambayo mbadala wa mafuta,jua,maji,na nguvu za kiatomiki ili...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari wakuu, Nauza Samsung Galaxy s2 au niko tayar kubadilishana na Tecno K7 au Spark3,, sababu ya kuuza au kutaka kubadilishana mm nafanya kazi ya Uber so hii simu imekataa uber driver App. Bei...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
TUNAFUNGA MFUMO WA UMWAGILIAJI MAJI (DRIP IRRIGATION ), KUANZIA NUSU HEKA NA KUENDELEA, EPUKA KUKAUKIWA KWA MIMEA SHAMBANI KWA UKOSEFU WA MAJI YA UHAKIKA, NA KULIMA KWA KUTEGEMEA MVUA PEKEE...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS kupitia Ipilimo Tuagize Magari....tumetimiza mwaka mmoja sasa tangu tuanze biashara ya IMPORT AGENCY SERVICES. Tumeweza kushirikiana vema na SBT JAPAN Kuwaagizia Wateja...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima Natafuta mtu mwenye uzoefu na maswala ya kununua vitu online Nataka kuagiza laptop kutoka Amazon Kama upo tayari njoo pm tuongee biashara.
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari zebu Niko kwenye mchakato wa kuanzisha biashara ya Financial Consultancy. Nahitaji kujitangaza na nimefikiria njia sahihi ni kwa kutumia teknolijia ya habari. Naomba Kama kuna mtaalam...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
laptop ya blue ni ya mtoto kuanzia class one hadi seven anaweza tumia bei 75 elfu laptop ya pink ni ya watoto wanaoanza kujifunza kusoma bei elfu 60 game ya tatu ni ya watoto wanaojianda kwenda...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wapendwa poleni na kazi ningependa kupata wateja waoweza kuwa na uhitaji wa zao la muhogo ipo tayar shamba lipo fukayosi maeneo ya bagamoyo
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa mwenye hayo magari anaweza share nami picha hapa ama dm,Gari liwe katika hali nzuri na bei nzuri ,iswir number A. .Engine isiwie inavuja popote. Waiting for a seriuous seller. Karibu.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hii si ya kukosa kabsa kitanda na godoro lake vinauzwa bei sawa na bure. Godoro ni Tanfom nchi 10 na kitanda chake cha chuma..vyote ni vipya. Location ni nzega Tabora.. Pia kama utahitaji na...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Aina Boxer Cc 150 Ipo kwenye hali nzuri sn, haifanyi bodaboda Bei 1,500,000/= mawasiliano 0712361699
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tucheki tuipendezeshe nyumba yako /office kwa gharama nafuu kwa urembo wa kutumia rangi kwa maumbo mbali mbali gharama ni nafuu sana 0764155772
0 Reactions
1 Replies
702 Views
TUNAUZA TOFALI KUBWA ZA KUCHOMA, ZENYE MUONEKANO WA KUVUTIA NA IMARA SANA KWA BEI NZURI YA TSHS 1'000/= KWA KILA PCS MOJA, ZINA UBORA, WA HALI YA JUU NA ZENYE KUVUTIA KWANI ZINAWEZA KUTUMIKA PIA...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Mwenye nayo tuongee biashara Budget 150k Terms and conditions!
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Habarini ndugu zanguni, kuna eneo linauzwa wilayan Sengerema mkoani Mwanza, lina ukubwa wa ekari 3, eneo lipo kando kando ya ziwa, ni Mita 150 kutoka ziwani, eneo Lina maji mengi Sana , hvyo Kwa...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
kwa mahitaji ya kuku wa kienyeji wenye afya nzuru kwa ajiri ya nyama au kufuga wanapatikana kwa bei nafuu kuanzia 10000 hadi 15000. Tupo shinyanga mjini. Wateja wa shy town tunawaletea popote...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wana JF nimeamua kuja kwenu Mimi ni kijana mkulima wa nyanya pamoja na mboga za Majani kwa sasa nimeivisha nyanya kama ekari moja na nyanya yangu ni VIP maana inamatunzo mazuri saana kama...
11 Reactions
29 Replies
5K Views
Wale wanaohitaji kuku wakienyeji wakufuga Kuku Ni wenyewe wakienyeji kabisa kutoka vijijini piga namba 0692669235 niweze kukuuzia kuku wakufuga majogoo kwa matetea karibuni sana Bei inaanzia...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwanvuli wa tigo au Airtel Na laini ya tigo pesa (tili)anaeuza tuwasiliane tufanye biashara
0 Reactions
2 Replies
757 Views
Habari wadau Kutokana na majukumu nilionayo kwa kipindi iki nimeamua kuiweka sokoni simu yangu ya iphone 6s plus 64 gb grey in colour kwa bei ya 480000/= Fixed Amount.... Battery Life 73%
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom