Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza simu samsung j1 ace 130k nipo dar Nicheki 0676010297
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, nauza hard disc aina ya Seagate barracuda yenye 2TB (2000gb)...Bei ni 150000/=...kwa mawasiliano zaidi piga namba 0753858259 au 0684420141
0 Reactions
4 Replies
822 Views
Habari Mwaka Huu Mwanzoni nilinunua Madini ya Silicon kwaajili ya Kusafirisha kwenda kuyauza nje ila nimekwama kutokana na Matatizo ya Kifamilia Pesa zote nilizokuwa nimepanga nitanunulia silicon...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ya Majukumu wana jukwaa? Baada ya kupokea maoni kutoka kwa wadau wetu na wateja wetu mbali mbali, hatimae tumeamua kukubaliana na ombi la kuwekeza pesa kidogo kidogo kwa kati ya miezi 3-...
8 Reactions
117 Replies
19K Views
Aseee kwemaaa heee kama yupo mwenye anavutiwa kuimba aje tufanye promotion apaeee kwa kiki, awe wakiume awe wakike aje tuone...hit up my dm asap for music arguments natafuta kina burna boy au...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa kuanza nina mtaji wa 15M. Huku kwetu hakuna mikate Kwa anaejua Machine za Ku tengenezea mpaka kufungia na ziwe kibiashara zaidi anijuze ukubwa na bei tafadhari
1 Reactions
16 Replies
14K Views
Wakuu Habari za leo, naingia kwenye mada kama inavojieleza naomba kujua kupitia kwenu nipo dar ni wapi nitapata duka linalouza simu zilizotumika kutoka ulaya au Africa kusini ama popote dunia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
NAUZA SAHANI ZA UDONGO KUTOKA JAPAN ZA JUMLA NA REJAREJA NAPATIKANA Tandika MAWASILIANO 0712246164
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Shamba la heka 2 lililopo chalinze kwa mwarabu...km2 kutoka morogoro road Bei ni milioni 5,Na maongezi yapo 0769512418.
0 Reactions
0 Replies
581 Views
FRIJI ndogo inauzwa bei ni 150,000 tu nAPATIKANA tANDIKA Mawasiliano 0712246164
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mwenye baiskeli yenye hali nzuri naomba anichek tufanye biashara. Ninahitaji ili niiwekee carrier kubwa kwa ajili ya kubebea vimmizigo vidogo vidogo ofsini kwangu. Hii ni kwa waliopo dar tu...
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Beiskeli za watoto zinauzwa BEI ni Tsh 130,000 tu. Mahali": Tandika,Dar Es Salaam Mawasiliano 0712246164 0623810012
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nahitaji Mahindi tani 200 hapo Arusha . Yawe safi na yalio kauka . Moisture isizidi 13% . Kama unayo tuwasiliane 0658 277 288 0784 950 950
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rav4 Kilitime Bei million 10 Mwaka2003 Km 140,000 mileage Engine: D4 vvti kwa mawasiliano 0659299667 Gari ipo Dar es salaam
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Laptop ipo kwenye hali nzuri ina 320gb hdd 3gb ram kioo 15.6 inchi Proc. 2.3ghz DVD RW Charge 1hr ipo na adapter yake og BEI 200000 Mwisho kabisa 170000. 0657427793 Serious Buyers Only
0 Reactions
2 Replies
881 Views
Nyumba inauzwa bei Rahisi sana Uyole mbeya kiwanja kikubwa bado hakija isha inaweza jenga nyumba nyingine. Nyumba kubwa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naulizia wapi ntapata huduma ya kufanyishwa mazoezi kwa morogoro mjini na bei yake kwa mwezi?Naombeni msaada
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hp elitepad 900 Laptop ya kisasa yenye uwezo wa kuwa tablet Inakaa na charge mpaka masaa 7 Win 8.1 Ram 2gb Ssd 64gb Bei 300,000/= Karibu 0764118083 Nipo dsm
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Natafuta Samsung S8 ambapo ntampatia huyo mtu mwenye S8 iPhone 6 na fedha kiasi. Ambaye yupo tayari tuchekiane Pm
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom