Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Salaaam wakuu ,nauza majogoo makubwa ,mazito Yana chanjo zote na yanafaa kwa kula au mbegu .. Yapo ya kutosha Location: kiluvya gogoni km 1 toka morogoro road. Contact:0755404226
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kilivyojielekeza kwa wale wanaouza Mkaa bei ya jumla na wale wenye kutengeneza Mkaa Mbadala nahitaji nataka kuanzisha biashara ya Mkaa kwa reja reja mtaani kwangu nipo dar...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau, inahitaji gari ya kukodi siku ya jmosi tarehe 31/8/2019. Sifa za Gari. - Iwe na uwezo wa kubeba kuanzia watu 8 - Iwe katika hali nzuri - Ikiwa Nissan Elgrand, Toyota Alphard au Nissan...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Natoa huduma ya kutafsiri vitabu, majarida na vingine vya aina hizo, kutoka lugha ya kingereza kwenda kiswahili. Kwa wenye kazi za aina hiyo karibu tuzungumze. Gharama ni nafuu...
0 Reactions
3 Replies
695 Views
Kama wewe ni mfanyabiashara dar au mkoani xoxa wear ni kijana mwanachuo ambae anakurahisishia kazi wewe mfanyabiashara kwani anapokea oda za nguo na viatu vyakiume na kike kwa wanaohitaji nguo za...
0 Reactions
5 Replies
847 Views
Ni original Kabisa na inanyoa vizuri sana,inafaa kwa matumizi ya salon na hata nyumban imetumika muda mchache sana na haina tatizo lolote Bei ya kutupa 50,000/= inauzwa kwasababu haitumiki bado...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tehama Mtatuzi inakuletea mfumo wa usimamizi wa mahesabu yaani Inventory Management System utakaokusaidia kwenye duka lako au store yako kufanya vitu vifuatavyo 1. Kurekodi bidhaa zote zilizo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari ya muda huu! Nahitaji macreti kama ifuatavyo Tbl-50 Serengeti-50 Coca-50 Napatikana dar es salaam,kibamba.Tuchekiane kwenye-0769254807
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Habari za humu ndani, viwanja vinauzwa vipo singida manispaa. Viwanja hivi vimepimwa bei ni kuanzia shilingi million 2 mpaka million 4 kulingana na ukubwa wa kiwanja. M² ni shilling 5,000 kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye gari ndogo ambae hawazi kuiazimisha wiki au mwezi mzima kibiashara kwa brand nilizotaja hapo juu, fanya unicheki inbox. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
3K Views
.
0 Reactions
0 Replies
455 Views
Nataka kunua gari aina ya Toyota starlet kipi na kipi cha kucheki kabla sijanunua kwa MTU
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nataka Toyota pick up nipo tanga 0719142151
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu! Husika na kichwa cha habari hapo juu,kama unaihitaji watu waje kwenye semina yako,mkutano,kanisani,makambi n.k,usipate shida,unachotakiwa nikuwasaliana na mmi,uniambie unahitaji...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Tanzania tunaendelea kupiga hatua kwenye Nyanja mbalimbali za maendeleo
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tafadhali piga namba 0713817818 Tafadhali fungua picha. Gari lipo morogoro
0 Reactions
32 Replies
11K Views
Tucheki tubadili mwonekano wa nyumba yako kwa gharama nafuu kwa kutumia rangi kuchora michoro mbalimbali ifananayo na wallpaper No.0764155772
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za Jumapili hii ndugu zangu. Kiafya mimi niko vyema kabisa, wacha niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikifanya uchunguzi juu ya biashara ya ufyatuaji tofali nikaona soko kubwa lipo...
2 Reactions
37 Replies
12K Views
Wakuu salama umu ndani,Mimi nauza Kuku wa kienyeji kuanzia 15,000,pamoja na mayai ya kienyeji trei 14,000 nipo arusha kijenge kwa mawasiliano 0784320071 utanipata tutaongea zaidi.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WADAU. ANAYEFAHAMU MUUZAJI WA SHAMBA/PLOT KUANZIA EKARI 5 HADI 10 (au 20) MAENEO YA BAGAMOYO (KATI YA DAR NA BAGAMOYO) AU UMBALI MFUPI BAADA YA BAGAMOYO MJINI ANIJULISHE INBOX. PREFERRED: Eneo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom