Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habarini. Natafuta fundi atakaenifanyia finishing ya nyumba yangu. Tayari imeshaezekwa kila kitu. Lakini nataka finishing ya nguvu kitu kionekane classic Masharti yangu: Atanipeleka kwenye...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kadi ipo kwenye hali nzuri na ni original, 0767844893 0658198116
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nauza digital camera aina ya Sony Tsh 100,000/- ina 3pixels na memory card 4GB. İpo katika hali nzuri. 0625610791 nipo pugu. Picha nione whatsApp humu inasumbua kuattach
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kisiwe na longolongo zozote. Serious seller tuwasiliane.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
New Updates:15:01:2018------------------------- Eneo la 400 square meters linauzwa maeneo ya Mwananyamala hospital,KINONDONI,BLOCK 24A,PLOT NO:13. Bei ni 250,000,000/= eneo ni zuri sana na lina...
1 Reactions
95 Replies
19K Views
MAKE ; Toyota MODEL ; Raum COLOUR ; White TRANSMITTION ; Automatic Cc ; 1490 PRICE ; 4m cash(fixed) lita 1 ya mafuta inatembea 15km NB : My own car and not a broker -Gari iko Dodoma -Gari...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Ipo Salasala 400m kutoka lami. 23*33 plot. Vyumba 5 (3 self) Vyoo 2 vya wageni (ndani na nje) Bei maelewano. Contact: 0693341234
4 Reactions
106 Replies
11K Views
Habari kampuni ya JERIMY ALUMINIUM inayousika na usambazaji na uuzaji wa chuma za aluminium aina zote pia kutengeneza milango madirisha ya aluminium aina zote inapenda kukutangazia kwako wewe...
2 Reactions
10 Replies
7K Views
Taarifa kwa madereva wao kutoka bolt mwanza ni kuwa wamefunga office zao na watabaki kuwasiliana kwa njia ya app na madereva wao
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mzigo huo hapo kwa inaye hitaji dm me
0 Reactions
0 Replies
448 Views
Habari wapendwa Jina langu ni jerry pia ni dalali wa nyumba,vyumba,frem,viwanja na hata mashamba kwa ajili ya kuuza na kupanga kwa maeneo yote ya dar es salaam, Je unahitaji nyumba ya kupanga...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello, Naomba kuuliza kama naweza pata samaki wabichi wa mwanza katika soko la Buguruni ambao hawajakaa muda mrefu. Nawasilisha.
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mahitaji yako ya haraka ya panya waliokomaa weupe na weusi wasiliana nasi. Panya dume mpevu anapatikana kwa bei nafuu ya shilingi elfu tisa mia sita na thelathini tu (dola 4.29) Zaidi ya...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Tunauza mchele super kutoka mbeya Grade 1 - 2,100 Grade 2 - 2,000 Grade 3 - 1,900 0756709338 Duka lipo dodoma kisasa sheri
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Imejengwa kwa plan ya kupangisha, ndani ya geti moja lakini kila moja ni chumba kimoja, sebule, jiko na choo chake (self contained). Maji ya dawasco na umeme umeunganishwa. Bei ni milioni 29...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu nahitaji tv mpya kati ya hizi Samsung au Philips kwa Tshs 250,000/=. Niko hapa Fire.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakubwa. Naomba mwenye kufahamu wasafirishaji wazuri wa mizigo tajwa hapo juu kutoka Dar kwenda Dodoma . Ikiwezekana nikipata na mawasiliano yao ama sehemu wanakopatikana hii...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Tunauza , Tunasambaza na kununua nafaka aina zote Tupo dodoma mjini Kwa maelezo zaidi piga 0756709338
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom