Mimi sina nnachojua kuhusu hii Biashara, kuna jamaa yangu anataka kununua Asali ya kutosha kwa ajiri ya biashara...
Anataka Picha ya Asali yako ili aone rangi yake na uzito au wepesi wake...
Natengeneza QR Code kwaajili ya kuitumia kwenye biashara yako au business card yako kwa bei nafuu kabisa ya offer sawa na bure! Faida ya QR Code kwa mfanyabiashara au mjasiriamali ni kwamba...
Iko Mbeya, kyela, km 12 kuto kyela mjini kipo pembeni na beach ya mwamyange umeme upo, Kuna msingi wa mawe,kina ukubwa wa eka moja na zaidi kidogo(77x75)
Price: 55 mil negotiable
Kwa vifuniko vya cotton na lace vinapatikana kwa rahel moving shop.
Tunauza kwa bei ya jumla na rejareja
Mikoani tunatuma na kwa wakazi wa dar tunakuletea ulipo.
Cal/watap :+255 767-562153
+255...
Wakuu natafuta shamba la kununua lenye ukubwa usiopungua hekari 30, kwa ajili ya project yangu ya kilimo mwaka ujao ninayotegemea kuifanya nje kidogo ya jiji la Dar es Salam, shamba hilo naomba...
Nyumba ambayo haijamalizika inauzwa iko maeneo ya tabata segerea maeneo ya sanene mtaa wa ugombolwa ina sifa zifuatazo. Ina vyumba vya kulala 5 na chumba cha kusomea watoto,masterbedroom, public...
Nauza kuku wa kienyeji kutoka singida, kuku ni walaini maji mara moja tu kwa ladha murua kabisa
Ukitaka aliyenyonyolewa kabisa pia utapata akiwa freshi bila kukaa kwenye jokofu, pia utapata...
Nna kijana wangu ambae anatarajia kujiunga na Darasa la kwanza hivi karibuni hivyo natafuta shule ambayo pamoja na masomo ya kawaida pia wanafundisha muziki pamoja na michezo ya kujihami kama...
Habari wakuu nauza mashine za juice ya miwa.
Zipo za aina mbili za umeme (inatumia motor) na Ya mkono.
Bei ya umeme Ni million 1 na laki 5
tunazituma ukishanunua.
Ushauri wa Kitaalamu, au kwa Kiingereza " Consultancy" hutafsirika kama kitendo cha utoaji wa ujuzi (knowledge) kutoka kwa Mshauri (Consultant) kwenda kwa Mteja (Client) kwa lengo la kuimarisha...
Uwajibikaji kwa Jamii ama "Corporate Social Responsibility" ni kitendo cha kampuni kuwajibika (morally responsible) katika masuala yanayohusu jamii, hususani mahala ambapo hiyo kampuni huendesha...
Usimamizi wa Mradi (Project Management) hufanyika kwa lengo la kuhakikisha kwamba mradi unatekelezeka kwa namna ulivyokusudiwa (as designed) ili kuweza kufikia malengo mahsusi yake (specific...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.