Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Uwanja uko goba kinzudi, unaweza pitia salasala mwisho wa lami Ukubwa mita 25 kwa 20 Manzari mazuri sana Bei 11m Maongezi zaidi wasiliana nami +255756060183
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ninanunua gallstones zinapatikana kwenye nyongo ya ng’ombe gram moja 50000. Robo kilo million 12.5 Nicheck Whatsapp , Call na Sms kwa No:- 0693296809
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kiwanja kipo goba maeneo ya Lastanza..ukubwa mita 48 kwa Mita 20 Bei 27m Kiwanja kipo kwenye muinuko, ukiwa hapo unaona mandhali nzr ya mji na upepo mzuri unaupata 1km kutoka goba road na 4km...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kiwanja Kinauzwa kipo Dar kimara temboni Ukubwa meters 20 *20 Huduma barabara umeme nk Karibuni 0689866829 Bei 5m
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni kitabu kinachofafanua maana ya Maneno hayo mawili. Viongozi wa dini wameongea kwa ufafanuzi. Pia kimesheheni mada kibao, kama: MWANAMKE KABLA HAJAOLEWA ANATAKIWA AWE AMEFANYA NGONO NA WANAUME...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
SPECIFICATION Hard Disk 500GB RAM 4GB Processor Dual Wenye mzigo PM plz. Very urgent
0 Reactions
5 Replies
727 Views
Wakubwa samahani kama kuna anayejua bei ya maziwa ambayo asasi wananunua kutoka kwa wafugaji
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Natafuta kioo cha simu used kati ya hivi : 1-samsung galaxy note 3 2-samsung galaxy j3 Mwenye navyo navihitaji pesa ipo.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari ndugu?, Nimeipenda hii gari na unafuu wa hii bei ya Tsh 3,372,935/= as a total price. Nauliza, hivi mpaka kuimiliki ifike kwangu gharama itafika tsh ngapi? Tafadhali naomba ufafanuzi kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu hope mko salama. Kuna flat screen LG nchi 32 inauzwa. Ni made in Korea rangi ya silver, picha zake ndo hizo hapo attached. Bei kuanzia Tsh 350,000/= na ni maeneo ya hapa Dar es salaam. Kwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Shamba au pori linauzwa linafaa kwa matumizi yote kulingana na mahitaji ya mteja mwenyewe Lipo Muriet Arusha km 3 kutoka barabara ya Africa Mashariki Lipo karibu na huduma zote za jamii Jumla...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NYUMBA inapatikana kimara, stopover Ina vyumba viwili (1self-contained) Seating room, Kitchen (open) & public toilet Maji na umeme unajitegemea Kutoka Morogoro road ni dakika 8-10 (mwendo wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jf,nadhani hi awamu ya tatu hii ni baada ya kukosa mteja wa uhakika na changamoto za hapa na pale.....ila cha kushukuru ni kwamba nyumba mpaka sasa haijapigwa Mnada SIFA ZA NYUMBA...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Tunapenda kuwajulisha wazazi, walezi na wanafunzi kuwa tunazo nafasi za kutosha katika hosteli yetu mpya iliyopo kariakoo mtaa wa livingstone Dar es salaam. Vyumba vyetu vina uchaguzi tofauti...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Guys nauza mataulo makubwa ya kituruki jumla na rejareja maarufu Kama Hammam towels, unaweza kuangalia Amazon ama site yoyote online Bei na matumizi yake. Mataulo haya yanakuwa na pande mbili...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Used Samsung s6 edge inataka 260k , imetumika miezi minne (4). Ipo buza..haina scratch hata kidogo SOLD/IMEUZWA TAYARI
0 Reactions
2 Replies
786 Views
Nyumba inapatikana wilaya ya ilala. Eneo ni Kivule (msongola) Njia unapitia KITUNDA Ina vyumba vitatu (1self contained) Ina jiko, sebule, na public washroom. Eneo LA kiwanja ni 25*22 (meter)...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Contacts hizi ni za kuwasiliana na wamiliki direct, hii ni kwa watu wanaofanya Biashara na mahoteli mbali mbali, nahitaji watu serious, maana ni contacts ambazo unawasiliana na wamiliki wa hotels...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Arizona real estate company limited Tunapenda kuwatangazia kwamba tunauza viwanja Kisongo - Arusha. Kuna huduma zote za kijamii Kama maji ,umeme,shule na huduma ya afya. Maeneo viwanja vilipo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
CLEAR RESOLUTION PICTURE HDR ACTIVE HEVC NETFLIX YOUTUBE HDMI,USB,VGA, AV :BEI YA OFA TSH:1100000 TU :TV MPYA ,WARRANT 1YR :USAFIRI BULE KULETEWA :TUNAPATIKANA KARIAKOO MSIMBAZI OPPOSITE NA...
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Back
Top Bottom