Husika na kichwa cha habari hapo Juu eneo la biashara ukubwa wa ekari mbili na nusu linauzwa limepimwa hati miliki zote zipo hili eneo linafaa kujenga hotels za kitali na beach nzuri liko...
Habari wanajamvi.
Nimeona nianzishe uzi ambao nitapost nyumba au apartment zinazouzwa hapa Tanzania, hasa Dar es salaam.
Nyumba zipo nyingi na za bei tofauti zinazouzwa, Nitakua napost nyumba...
kuna hivi vifungashio vya plastic vinaangaza wanavitumia hata hawa wanaouza miwa mimi nahitaji kwa anaeuza anicheki au kama kuna chimbo wanauza naomba kufahamishwa nipajue
NYUMBA INAUZWA
STRUCTURE
Ni nyumba ya vyumba vinne(1 master)
Pia ina;
-dinning
-sitting
-jiko
-public toilet
-parking kubwa
DOCUMENTS
Eneo limepimwa lina hati miliki(title deed)
LOCATION...
Kwa anayehitaji.
Location : Chamazi Magengeni
Bei : 120k kwa mwezi
Malipo : Kuanzia miezi minne
Maji : Bure
Umeme : Mna share wawili
Nyumba ipo ndani ya ukuta.
Tunakuwekea system ambayo ni ndogo na bei rahisi,tunakupa guarantee 10yrs na ni uhakika system inafanya kazi zaidi ya miaka 50. Tumekufikia Dodoma pia baada ya kuwa Dar na Mwanza...
1. TANZANIA FOREST FUND.
Ruzuku: Tsh 5 Mil
Eneo: Uhifadhi wa Misitu, Uboreshaji wa Maisha ya Watu Waishio Pembezoni mwa Misitu n. k
Chanzo Cha Taarifa : www.forestfund.go.tz
2. THE MCLAIN ASS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.