Natafuta Mtaalamu wa kuchimba kichuguu mpaka kumtoa malkia

Kama kuna mwenye huu utaalamu wa kutoa malkia wa mchwa ningependa ni pm napatikana Kibaha.
Ahsante
Chukuwa dawa sumu ya maji ddt, dawa ya kuuwa ndege, dawa ya mchwa kama Galion moja mwaga humo kwenye kichuguu mchwa na malikia wao watakufa wote
 
dah ndugu kumpata malkia syo ishu ya kitoto na anasumu kali mno so be care
 
Huwa unaandika ili uchangie mada ama ili uonekane unachangia? Umewai sikia wapi mchwa malkia amesababisha kifo tangu umezaliwa? Documentary gani umewai itazama ikitoa onyo kuwa mchwa malkia anaweza ua mtu kwa sumu yake?

Tusidanganyane.
 
Kama shida ni kukomesha kichuguu ushauri ni kutafuta nyoka mwenye sumu muue then mtupie ndani ya kichuguu, malkia atapelekewa msosi nae atakufa na hapo kichuguu kitakwisha.

Ushauri huu niliusoma humu jamvini siku za nyuma na kuna jamaa yangu anadai mbinu hii alitumia na ikafanikiwa.
Kama kuna mwenye huu utaalamu wa kutoa malkia wa mchwa ningependa ni pm napatikana Kibaha.
Ahsante
 
Kama shida ni kukomesha kichuguu ushauri ni kutafuta nyoka mwenye sumu muue then mtupie ndani ya kichuguu, malkia atapelekewa msosi nae atakufa na hapo kichuguu kitakwisha.

Ushauri huu niliusoma humu jamvini siku za nyuma na kuna jamaa yangu anadai mbinu hii alitumia na ikafanikiwa.
Kipi rahisi kati ya kumtafuta nyoka mwenye sumu kali na kumuua malkia wa mchwa?
 
Back
Top Bottom