Natafuta Mtaalamu wa kuchimba kichuguu mpaka kumtoa malkia

Natafuta Mtaalamu wa kuchimba kichuguu mpaka kumtoa malkia

'kuchimba KICHUGUU mpaka kumtoa malkia' mweupe mweupe....
 
Kumtafuta malkia sio kazi ndogo, nyoka mweye sumu unaweza kukuta somewhere wamemuua maana sisi watu wa vijijini sio kazi ngumu
Kipi rahisi kati ya kumtafuta nyoka mwenye sumu kali na kumuua malkia wa mchwa?
 
Mungu amrehemu malkia wa nyuki maskini.Sioni mtu anaemtetea hata mmoja.
 
Back
Top Bottom