Malo Robi
JF-Expert Member
- May 16, 2017
- 325
- 546
Nenda kijiweni hapo kwa wapiga ngada na chibuku utapata msaada kiuraini zaidi. Hela yako tuuKama kuna mwenye huu utaalamu wa kutoa malkia wa mchwa ningependa ni pm napatikana Kibaha.
Ahsante
Nenda kijiweni hapo kwa wapiga ngada na chibuku utapata msaada kiuraini zaidi. Hela yako tuuKama kuna mwenye huu utaalamu wa kutoa malkia wa mchwa ningependa ni pm napatikana Kibaha.
Ahsante
Kama kuna mwenye huu utaalamu wa kutoa malkia wa mchwa ningependa ni pm napatikana Kibaha.
Ahsante
Hivi umesoma vizuri comment ya jamaa? Amesema malikia ana sumu kali wala hajazungumzia kifo. Sumu inaweza kuwa na madhara mengine tofauti na kifo. Mjifunze kutafakari kabla ya kuchangia.Huwa unaandika ili uchangie mada ama ili uonekane unachangia? Umewai sikia wapi mchwa malkia amesababisha kifo tangu umezaliwa? Documentary gani umewai itazama ikitoa onyo kuwa mchwa malkia anaweza ua mtu kwa sumu yake?
Tusidanganyane.
Hivi umesoma vizuri comment ya jamaa? Amesema malikia ana sumu kali wala hajazungumzia kifo. Sumu inaweza kuwa na madhara mengine tofauti na kifo. Mjifunze kutafakari kabla ya kuchangia.
fulaniKama shida ni kukomesha kichuguu ushauri ni kutafuta nyoka mwenye sumu muue then mtupie ndani ya kichuguu, malkia atapelekewa msosi nae atakufa na hapo kichuguu kitakwisha.
Ushauri huu niliusoma humu jamvini siku za nyuma na kuna jamaa yangu anadai mbinu hii alitumia na ikafanikiwa.
hahaha kama id yako vile ila hii thread comment mbavu sinaDuniani Kuna mambo sana.
Kadri miaka inavyosogea mbele unazidi kuwa mgeni na kugundua vitu vipya kabisa.
Dah pole sana mkuu.Hii haina ukweli mkuu, nilishajaribu mahali fulani tena niliua black mamba /koboko si chini ya watat kwa wakati tofauti nikawatumbukiza kwenye kichuguu. Mpaka lei bado wapo
fulani
Ayetoa ushauri huo kuwa malkia ana sumu ungemuuliza anachangia akiwa wapi, sometime anakula Ng'anda au jini maruhani limempanda kwa hiyo unaongea na kitiHivi umesoma vizuri comment ya jamaa? Amesema malikia ana sumu kali wala hajazungumzia kifo. Sumu inaweza kuwa na madhara mengine tofauti na kifo. Mjifunze kutafakari kabla ya kuchangia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji33]Dawa ya kutibu mbu inaweza kumtibu malkia wa mchwa?
Mzee baba uliwezaje kuua huyo nyoka nasikia ni hatari sana, hebu tupe utaalam kidogo wa kuweza kukabiliana nae...Hii haina ukweli mkuu, nilishajaribu mahali fulani tena niliua black mamba /koboko si chini ya watat kwa wakati tofauti nikawatumbukiza kwenye kichuguu. Mpaka lei bado wapo
fulani
Unakaa nae mbali kidogo kisha unamtandika mawe au matofaliMzee baba uliwezaje kuua huyo nyoka nasikia ni hatari sana, hebu tupe utaalam kidogo wa kuweza kukabiliana nae...
Unakaa nae mbali kidogo kisha unamtandika mawe au matofali
😝😝😝😝 fala sana weweKwani kasema malkia anaumwa mpaka ampe dawa?