Habari wadau,
Ninauza Mhogo uko Shambani, Kibaha-Soga.
Nililima Hekari 10(10Acres). Una uchungu,hivyo unafaa kwa matumizi ya Unga,na kwa mahitaji ya viwandani.
Naulizia Wa-china wanaonunua Mhogo...
Hello! Wanajamvi, kwenye pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na Mafuta ya kupaka sehemu za uumeni yanaitwa Man 1.
Naomba kujua anaye fahamu yanapo pataikana.
Asanteni.
Habari, kwa wakazi wa Dodoma mjini tunatoa huduma ya kuchimba mashimo ya choo kwa ufanisi mkubwa. Bei zetu ni ndogo na pia tunachaji kutokana na mwamba uliopo.
Karibu PM kwa mawasiliano zaidi.
Habari Members! Natafuta mtu mwenye ujuzi wa Kutengeneza Apps, anifundishe kwa malipo tutakayokubaliana. Nipo Temeke Dar es Salaam.
Tuwasiliane kupitia WhatsApp 0672999266
Nauza mchele safi kutoka mbeya.
Napatikana Dar Es Salaam- Ilala Bungoni
kwa wateja wa dar es salaam free delivery ukichukua kuanzia kilo 15, mikoani pia tunatuma.
Grade 1 kilo 2,000/=
Grade 2 kilo...
Wakuu kwema?
Kaka yangu anauza kiwanja chenye ukubwa wa 962 square meter kilichopo mtaa wa michese jijini Dodoma.
Kiwanja kimepimwa na tiari ramani ya mtaa ipo kamili,kipo jirani na shule ya...
ELECTRIC FENCE
Hii ni fence ya umeme yenye kupiga shoti, pindi mtu yeyote atakapojaribu kukatiza fence kuingia au kutoka nje ya kampound kupitia either juu ya ukuta au mahali ilipofungwa fence...
Wana jamvi kama heading inavyojieleza.
Natafuta printer hiyo hapo juu iwe used au mpya
Au kama kuna mtu ana FILIM na catridge ya hiyo hiyo hap laser jet 5200 .catridge ni no 16A
Wana JF Nina matatizo yamenikabili mpaka shingoni hivyo nahitaji pesa kuweza kuyatatua na kusimama upya hivyo basi nimeamua kuuza kiwanja changu ambacho kipo Dodoma mjini mailimbili, kina ukubwa...
Ninahitaji kununua gari dogo LA kutembelea.Naishi Maeneo ya Bonyokwa Dar es salaam,ambapo kuna milima milima mingi.Binafsi nyumba yangu IPO kwenye milima ambapo nahofia gari isiyo na nguvu huenda...
Asali Mbichi nyuki wa wakubwa inapatikana, Nusupply kwa Jumla, kwenye Dumu la Ltr 20 bei ya kuanzia 125,000/- (including Transport) kwa Order kubwa bei inashuka... Napatikana Nzega,Tabora. Wahi...
Niko Mkoa Wa Kagera. Nahitaji Kuanzisha Biashara Ya Samaki wa Mapambo, Pia Utengenezaji wa Aquascape, Water Falls Pamoja Na Forest Ndani Ya Nyumba. Mwenye Ako Na Knowledge Anakaribishwa
Nahitaji ruby ya longido(high caboshon)
Napia Nahitaji Mawe Aina iolite Kutoka babati(high caboshon)size kuanzia grm 10 kwenda juu Nna order nazo sana....kama kuna mtu Ana idea,anajishugulisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.