Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Miundombinu Inayopatikana Wilaya Ya Tanga Jiji. ✓ Bandari inayounganisha nchi ya Uganda na Tanzania. Bandari zipo mbili. Bandari husaidia kwenye usafiri wa Mkonge, kahawa, Pamba na chai. ✓ Reli...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF Ninauza viwanja vilivyoko maeneo tofauti tofauti hapa Mwanza.Viwanja hivi ni yale yaliyokuwa mashamba,lakini baada ya mji kuendelea kukua sasa yalikatwa na yanaendelea kukatwa kwa...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
NINA 4,000,000 NIPE MOJAWAPO 👇 Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
12 Reactions
110 Replies
3K Views
Kiwanja kinauxwa anaehitaji cont 0689 456855 atakupa maellekezo usinsahau mkimalizana
1 Reactions
1 Replies
154 Views
Habari,ninauza mahindi lishe Kwa gunia Moja bei ni Tshs.90000/= napatikana mkoa wa songwe halmashauli ya tunduma. karibuni sana wateja.
2 Reactions
19 Replies
574 Views
Wakuu namshukuru Mungu nimekuwa nikifanya utafiti wa magonjwa ya kuku ambayo yanadaiwa kutotibika. Mimi sio daktari wa mifugo na wala sina taaluma hiyo, utafiti wangu umekuwa wa kienyeji mno baada...
6 Reactions
37 Replies
32K Views
Nina uhitaji wa nyumba, vyumba viwili, kimoja self contained , sebule, jiko, maji, umeme na fence. Maeneo: Kinyerezi (kuanzia darajani - Kinyerezi mwisho) Segerea (Magereza hadi...
2 Reactions
12 Replies
586 Views
Habari zenu Wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nataka niingie kwenye Kilimo na kama unavyojua kilimo chetu hapa kibongo bongo ni kwenye ardhi ingawa teknologia ya sasa unaweza...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
* Saa ni AUTOMATIC haitumii betri unavaa tu miaka na miaka. * Saa ni waterproof haiingizi maji hata uzame nayo chini ya bahari inafanya kazi kama kawaida. * Saa ni roho ya paka inakaa miaka na...
7 Reactions
63 Replies
8K Views
There will be a system upgrade today (3hrs to come) which will take about 30-50minutes. We hope you'll accept this inconvenience for the better JF. Invisible For JF Administration
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Viwanja vinauzwa Mbutu Kigamboni vimebaki viwanja 7 tu kwenye mradi. Ni mbutu mbele ya dege eco village uelekeo wa baharini(mita 400) kutoka baharini). Viko barabarani barabara iendayo...
1 Reactions
2 Replies
442 Views
I COMMEND THE PREZ FOR THINKING ABOUT SPORTS LIKE THIS! HOPEFULLY SOON ATALETA PIA NA WAKAMATA MAFISADI AFTER WATCHING HOW THEY PERFORM LIKE HE WILL WATCH THE BASKETBAL GAME (WNBA). I quote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
10 PLOTS FOR SALE AT NZUNGUNI B DODOMA. Vina Sqm 603, 549, 567, 563, 537, 582, 575, 565, 568 na 568 karibu na Chuo cha Maendendeleo 0616967368
0 Reactions
3 Replies
300 Views
Wakubwa kuna blog mpya ya wanaotafuta wachumba, kuoa na kadhalika check on www.bongodating.blogspot.com
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu Watanzania, Ninawasalimu wote. Ninaombeni mwenye Namba za/ya simu ya mezani ya Benki ya posta makao makuu (Ex-Telecoms Dar) au Email anitumie kwenye PM yangu au aniwekee hapa. Pia kama...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Sorted. Admin, unaweza futa hii kama veve napata mida. Kama veve nashindwa mimi iko ita abdala au juma iko ondoa hii. asante.
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kuwaambia wanaJF na wengineo wote kuwa kuna vifaa muhimu/mahsusi vya kuongea na simu kwenye Gari(mirror handsfree) vinawasili hivi karibuni kutoka Ujerumani. Kwa vifaa hivi utaweza...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wow, this will be interesting, Maasai worriors from Tanzania participating in London Marathon (13 April 2008) charity run to raise money for a water project in their home village. See...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Attached please find the call for expression of interest for value for money audit for BOT projects.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
CLASS RE-UNION MOSHI TECHNICAL (1987) Wengi wameomba kila mtu aliyekuwepo Moshi Tech mwaka 1987 ahusishwe, hata kama alikuwa kidato cha kwanza mwaka huo. Wengi wanaelekea kukubaliana na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom