Bila kupoteza muda mimi ni mkulima napambana kujikwamua kimaisha, ingawa sisi wakulima tunadharaulika sana ila tukazeni tu ipo sku tutaheshimika.
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu...
RIETA SEED Tunakuletea Mbegu Bora ya Mahindi ya UH 6303
Hii inastawi vema sana ukanda wa juu hasa Mbeya, Songwe,Njombe, Rukwa, Katavi na Njombe.
Mavuno mengi magunia 30 kwa eka.
Ni tamu kuchoma...
Tunauza Samaki aina ya Sato kwa Bei ya TSH 9,000 tu kwa kilo moja
Kwenye kilo moja unapata samaki 4 - 6 wenye uzito wa 250g - 150g
Samaki wetu ni wakufugwa, wanafugwa kitaalamu na aquaculture...
Habari!
Nauza beach plot ambavyo viwanja vipo Kigamboni Buyuni idadi ya viwanja ni 10 na vyote vinaukubwa tofauti tofauti vinauzwa vyote kwa pamoja kwa garama ya shilingi 250ml kwa maelezo zaidi...
Karibu Cus Leather Shoes wauzaji na watengenezaji wa viatu imara vya shule kwa 35,000 tu kuanzia size 18-44. Ukihitaji delivery kwa Dsm ni sh 5000.
Tunapatikana Segerea kwa bibi kwa namba...
• Ipo Kibamba Mwisho
• Ukubwa wa eneo ni ekari 4
• Ina hati miliki
• Imesajiliwa
• Inauzwa TZS bilioni 1.2
.
✓ darasa 1-7
✓ inatoa huduma
✓ ni ya kutwa
✓ ina maabara na jengo la ofisi
✓ ina...
Tofali za Mwamba ni imara na mara 5 zaidi ya tofali za kawaida zinastahimili magadi na seh korofi kama kwenye maji udongo unaotitia na zinaweza kujengea bila kupiga plasta kwa nje hivyo kuepusha...
Rafiki yangu mpendwa,
Kwa miaka yoyote ambayo ulikaa shuleni, ulifundishwa mambo mengi sana. Lakini kuna elimu moja muhimu sana ambayo hukufundishwa na ndiyo inayokutesa mpaka leo.
Ulifundishwa...
pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma
tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi,
Tunapatikana mbezi beach...
Habari ndugu, naombeni msaada kwa yeyote mwenye gazeti la HABARI LEO la Leo tarehe 04/09/2024 anisaidie jambo.
Nimepoteza vyeti vyangu vyoye vya elimu hivyo ilinipasa kuandaa tangazo kwenye...
Wakuu, nipo mjini Mtwara. Nahitaji nipate vitu vifuatavyo.
Pete za ndoa
Pete za uchumba
Mkufu
Hereni na brcelet
Vyote hivyo viwe English Gold materials.
Naomba kufahamishwa maduka gani niende...
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA
_______
MAHALI-MICHESE BLOCK ZF
_______
UMBALI TOKA TOWN-6KM TU
________
UKUBWA-479SQM
__________
BEI 12M
-DOCUMENTS ZAKE ZA UMILIKI ZIMENYOOKA
0622111186...
Misumeno na yenye ala inauzwa.
Ni mikali na imara sana.
Inafaa sana kwa shughuli za nyumbani,kambini,ufundi.
Inafaa pia kukatia pemba za ng’ombe na mbuzi.
Wahi ofa hii katika bei ya shilingi...
Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol
Gas fuel ina gharama nafuu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.