Wakuu wote habar zenu...
Nauliza kama naweza kupata gari tajwa Kwa bei hiyo.
iwe namba D
Kama kuna atakayekwazika natanguliz samahani.
Naleta Kwa hatua yenu.
Hello tunauza mashine za kukamua juisi ya miwa
Sifa kuu inakamua na kuchuja yenyewe Huna haja ya kusumbuka
Pia Hutumia Umeme kidogo karibu sana
Tupo kariakoo mtaa wa masasi na ndanda
0774150519
Mtu asiyetaka kuagiza gari kununua nje anataka kununua tu hapa nchini.
Yadi ipi inayouza magari mazuri waaminifu Tanzania na Zanizibar na inachukua muda gani ukilipa kuchukua gari yako
Wazee naomba msaada nahitaji gari nzuri 4 wheel drive tunataka kukodi
Tarehe 17 mwezi huu kutoka Dar mpaka sumbawanga na kurudi. Safari itakua ina vituo mbalimbali kama Morogoro, Mikumi, Mbeya...
Hello good morning guys
Leo tuna huduma zifuatazo;-
1. Heslb Loan application
2. Tin no application
3. Ajira portal(ajira za ualimu)
4. Birth and death certificate
5 .University application...
Kipo Kibaha kwa Mathias Msangani karibia na zahanati ya Msangani. Kina ukubwa mita 30 Kwa mita 20. Bei milioni 3.
Miundo mbinu iko vizuri. Barabara ya lami, bajaji 1000, boda 1500.
Napenda Kuchukua Nafasi Hii Kuwakaribisha Wote Katika BBQ yetu hapa Chicago, IL ambayo itafanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 26/7/2008 na kufuatiwa na Party usiku wake. Angalia Flyer kupitia hiyo...
Mnauza skanka nzuri kutoka south africa kwa bei nafuu ya 4000 kwa gram pia local weeds au kushi nazo zinapatikana pia kwa mawasiliano nichek 0765440521 nipo dar napatikana muda wowote
Vitu vya ndani vinauzwa kwa bei nafuu;
Hisense smart TV, inch 43 ina box lake - 350,000/=
Friji ndogo - 100,000/=
Feni kubwa - 30,000/=
Viti vya plastic (3) - 15000/=
Meza ya kioo ndogo -...
Wakuu niaje
Asee nauza simu yangu clean condition. Imetumika miez mi3 tu
Sida zake ni hizo hapo juu. Aina yKe ni Samsung A25
Price 340
Call : 0628731833
Tabata kinyerezi
Nyumba za wageni (guest houses) ni aina ya malazi ambayo yanatoa huduma za muda mfupi kwa wageni, sawa na hoteli lakini kwa kiwango kidogo zaidi.
Nyumba hizi zinaweza kuwa na vyumba vichache...
Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo
Ina Vyumba 2 kimoja master
Jiko,public toilet, sebule
Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20
Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa
Nimailimoja loliondo...
Kiwanja caha biashara kipo opposite na New kibo complex Tegeta kina ukubwa wa 1260 square meters
Kinafaa kwa matumizi ya biashara kama petro station, apartment, Maduka n.k
Kianuzwa 850M
Mazungumzo...
Unahitaji mashine ya kusaga na kukoboa nikukaribishe utazipata kwetu
Pia utapewa ushauri mashine ipi itakufaa kutokana na mazingira yako
Tunapatikana tabata
Namba zetu 0717209569
Habari wakuu, nimejaribu kuja na baadhi ya options za ramani za nyumba unazoweza kujenga kwa gharama nafuu.
Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama...
Tunauza Scientific Calculators Original za fx-991 ES PLUS pamoja fx-991 MS
Bei ya fx-991 ES PLUS ni 65,000/- na fx-991 MS ni 60,000/-
Tupo Zanzibar, tunaweza tuma Dar na hata mikoani ila gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.