Tunaifanyia gari yako Engine Service ya kisasa na kwa gharama nafuu sana. Service hiyo ya engine inajumuisha mambo yafuatayo.
1. Tunakuwekea Oils na filters ambazo ni Genuine. Tunatambua Oil...
Nina uzoefu wa miaka minne na nusu ambapo nilifanya katika moja ya depot ya kampuni ya Cocacola, hizi ambazo zinaitwa SSD. Nilikuwa chini ya kampuni Fulani ambayo mshahara wangu ulikuwa ukipitia...
Pata Vodacom sme Bure kabisa, uwe na nida, Tin number, picha yako, utapata ndani ya dakika chache nicheki kupitia +255753207909
NB: Maelezo yote nimeweka apa wakuu ukiwa na ivyo vielelezo ndo...
Kuchagua eneo zuri kwa ajili ya uwekezaji wa majengo ya kupangisha ni moja ya mambo muhimu sana kwa mafanikio ya muda mrefu ya uwekezaji huo. Eneo linaathiri moja kwa moja uwezo wa kupata...
Habarini kinandugu,Mimi ni mwanamama aged 33 Niko dar,Niko na dip ya procurement& supply.Natafuta tender ya kusupply beef fillet,steak,Nundu na Samaki sato,sangara local vegetables na fruits...
Wadau mimi nina supply fresh meet(beef) kutoka kampuni ya ranchi za taifa (NARCO) nyama yenye ubora na usalama kwa walaji kwani inaandaliwa katika mazingira mazuri kuanzia ufugaji hadi uchinjwaji...
Salaam wana body
Kupitia Uzi huu nitaleta gari za bei zifuatazo
√bei ya chini (5m below)
√ bei ya kipato cha kati (5m above)
√ bei ya kipato cha juu (10m+)
Ukipendezwa na aina ya gari uliyoina...
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA MBEZI MWISHO MAKUTI
BEI NI MILION 13 TU
■■UKUBWA WA KIWANJA MITA 20 KWA 20
■■UMEME NA MAJI YAPO SITE
■■VIMEPIMWA NA KURASIMISHWA KWA MAKAZI BORA
0675 065906
Land Rover Discovery 3 Inauzwa..,
Gari haina tatizo lolote, Ipo katika hali nzuri sana.
Model ya 2005, Automatic transmission, Milleage ni 100,000 kms.
Kwa maelezo zaidi +255(0)694-206924 or...
Wewe ni mpenzi kufuatilia series/movie usiogope idadi nicheki whatsapp nitajie series unazohitaji usiogope idadi ziwe series 20 na zaidi ntakuletea kwa gharama ya 5000 tu ( Dar es salaam )...
Nakodisha Frame 3 za biashara Katoro-Geita.Zipo Barabara ya CCM (Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro),zinatazamq Rami.Ukubwa:Mbili zina Ujazo wa Meta za Mraba 26.5 na Moja ina Ujazo wa meta za Mraba...
KARIBUNI KWA NGUO NA VIATU VIZURI KUTOKA INDIA,UTURUKI,HONG KONG NA VIETNAM
NAPATIKANA UPANGA DAR ES SALAAM
0678096545
Delivery ya viatu kwa Dar es salaam ni bure
Tunazalisha na kuuza mbegu Bora za samaki aina ya Sato na Kambale.
Vifaranga vinazalishwa kitaalamu na vina sifa zifuatazo;
✓ Wanazoea mazingira utakayo wafugia kwa haraka
✓ Wanakua haraka na...
Samaki aina ya sato ni moja kati ya kitoeo kinachopenda wa na idadi kubwa ya watu Zaidi ya aina nyingine zote za samaki wa maji chumvi na maji baridi kutokana na ladha yake ya kipekee na pia ni...
Bila kupoteza muda nyakati ndizo hzi kuingia kwenye kilimo tena, karbuni sana kwa mahitaji ya sprayer pump 16L na ndgo 2L, spare complete (chuma, bati na plastic), nozzle na rubber za ina...
Habari,
Nauza gari aina ya Rav4 ipo katika hali nzuri kwa bei ya Tsh. 7m na maongezi yapo.
Mawasiliano ya simu ni 0713 227 823 na 0756 844 197
Karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.