Habari wadau puppy wanauzwa wapo wa 4 wote ni madume wana umri wa mwezi 1 na siku 4.Wamepata chanjo Dhlp. Kadi zao zipo pichani ni mama yao na baba yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamjambo?
Nahitaji mbwa jike na dume, PURE GERMAN SHEPHERD (WORKING LINE). Ni vizuri nikiwapata kutoka kwa breeder.
Kama unauza au unajua sehemu ya kuwapata nijulishe tafadhali.
Line za uwakala zinauzwa.
Zipo Dar, mkoni unatumiwa.
Tigo 150,000
Voda 150,000
Airtel 100,000
Njoo PM nikuunganishe na muuzaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibuni Mashine za ice cream bei zetu ni za watu wote Wa kawaida mzigo uliopo Mashine zipo aina mbili zipo za million mbili na nusu
Pia zipo ndogo za million moja na nusu karibuni sana...
Anzia maisha na hili Banda baki mjini
Mi nimehamia kijijin
Unafagia tu na kuhamia maelewano yapo,kuna wapangaji 3 ndani.
bei 18m.
Tabata Kimanga,Ugombolwa,mbuyuni.
Dak 10 toka stend kuu mwisho...
Spy Watch Camera HD 720p 8GB, Waterproof Camcorder Tsh 99,000/=
Product Spcifications
Storage 8GB
Video resolution HD 720P (1280*960)
Video format AVI
Built In Microphone: Max Audio Range 15...
Nauza mayai.....jumla kuanzaia trey kumi nakuletea ulipo kwa hapa dar es salaam.
Mayai yapo ya kutosha............
Kama unahitaji
Waweza nitumia nitumia inbox na outbox
Karibuni.
Sent...
Kwa wenye maduka ya viatu ya jumla na rejareja njoo nikuuzie viatu vya kike kwa bei poa ya na originally kabisa.
Mzikogo huo umetoka korea
karibuni sana.
bei zetu zinaanzia 25,000 tu hadi...
Hii ni kuwajulisha watu wote wenye nia,kwamba atimayr madarasa ya kuogelea yanaenda kukimbiza Dar es salaam.Madarasa ufanyika jumatatu adi jumapili kila wiki.Tunafundisha watoto na watu...
Habarini wana Jf
Nina shahada ya Uhasibu, natafuta Auditing Firm kwa Arusha ili niweze kujifunza Zaidi kuhusiana na auditing (Nafasi ya kujitolea kwa malipo kidogo).
Asanteni.
Mwenye uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.