Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wanajamvi Katika kujisogeza kimaisha, nimeingia kwenye ujasiriamali wa uchapaji wa kutumia mashine za kisasa (Digital) ambapo pamoja na kufanya ubunifu (designing) ninaprint fliers, Booklets...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyanya ni zao la mboga linalolimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Nyanya ni aina ya mboga inayo zalishwa kwa wingi sana duniani. Kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za majukumu wana jamvi! Nimeamua kuja kwa Mara nyingine. Nyumba hii inayouzwa ni ya ndugu yangu, ipo banana, KITUNDA. HOUSE DESCRIPTIONS: location: banana (KITUNDA) 5km from banana...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Dereva mahir na mzoef anatafuta gar ndogo ya kufanyia kaz..!! hesabu awe anawakilisha kwa siku au kwa wiki kutokana na makubaliono na mmiliki
0 Reactions
6 Replies
806 Views
ninakiwanja vikindu kazole futi 50 kwa 50 kipo karbu na barabara maji na umeme vinapatikana kirahis sana Bei 4.5M
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Unaanzaje kuacha hii ikupite, ab_roller hii ni roller inayokupa nafasi sio tu kupambana na kitambi bali na kushape na kutengeneza maeneo mengine ya mwili Zinapatikana kwa tsh 35,000 tu Tufollow...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Nissan Murano Year---2004 Engine capacity----2480cc Drive---2wd Grade----250xl Seat---5 Fuel---petrol Other option---AW RR FOG HID NV P-SEAT S-SWITCH ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Apartment mpya na iliyo sehemu nzuri inapangishwa katika Jengo la Watumishi Housing, Magomeni Usalama. Ina vyumba vitatu vya kulala, moja ni self contained. Ina sitting room, open dining room...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Machine ipo Dodoma mjini. Sababu ya kuuza ni ilikua ya shirika na mradi umekwisha. Haikuwahi kutumika kabisa/ni mpya. Machine ipo full set. Inauzwa kwa lakini tano na hamsini elfu (550,000). Kwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari, kama title inavyojieleza hapo juu. Natafuta studio ya kufanya nao kazi ya kureokodi simulizi za hadithi kwa mkataba. Kama upo tayari nichek PM tuongee namna tutakavyofanya kazi . Asante ...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Hello wana bodi, husika na kichwa cha habari. Tafadhali naomba kujuzwa bei ya iliki mbichi na kavu. Asanteni sana.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Game mpya kabisa kwa ajili ya Ps4, haijatumika hata kidogo inauzwa ni Nba2k19. Ni mpya na original kwahiyo ukiinunua utapata access ya online content zote. Kwa wale wasiojua Nba 2k19 ni nini basi...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Blackberry bold 9700 kwa laki tatu na blackberry curve kwa shilling laki na nusu na samsung galaxy S ya T mobile unlocked shilling laki tatu na nusu
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu nauza paka na watoto wake 4,kama utahitaji na panya wa kuanzia ntakupatia bure! Nichek pm
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu karibuni kwa ajili ya huduma ya Bima kwa ajili ya chombo chako cha moto (Gari; Bajaji; Pikipiki etc) Nakupatia Bima ya •Mwaka, •Miezi 6 au •Miezi 3 kwa magari na bajaji. Kwa pikipiki ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Unaweza kuipa maneno gani hii video? Christina Shusho akiwa ibadani kanisa Katoliki! Si kwa nia mbaya bali kujifunza tu! Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
37 Replies
6K Views
HTC DESIRE EYE inauzwa shilingi laki mbili (200000/=) Camera nyuma na mbele 13MP /f 2.0 dual tone flash.. Processor Qualcomm snapdragon 801, 2.3 GHz... 5.2 inches.. Maongezi kidogooo Karibuni PM
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Price usd 42.5 per tonne at likuyufusi coal sales stockpile,appr 20km from songea town on the way to mozambique boarder,about 1080km from dar es salaam
0 Reactions
11 Replies
1K Views
CAR FOR SALE MAKE ; Toyota MODEL ; Verossa COLOUR ; Silver TRANSMITTION ; Automatic Cc ; 1980 YEAR ; 2002 NUMBER ; B MODE OF TRANSMITTION ; automatic FUEL USE : Petrol ENGINE TYPE ; 1G...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ofa Ofa Ofa Vifaranga wa #broiler #kukuwanyama| Bei 1,400 | vinaingia Dar leo usiku asubuhi unapata. Lipa upewe mzigo wako. Wa mikoni mnatumiwa gharama ya usafiri ni juu ya mteja Njia ya Mosh...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom