Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
CAR FOR SALE MAKE ; Toyota MODEL ; Prado COLOUR ; Silver Cc ; 2690 YEAR ; 1999 NUMBER ; C ENGINE ; 3RZ PISTON ; Four IMPORTED YEAR ; 2013 MODE OF TRANSMISSION ; automatic FUEL USE ...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Bila kupoteza mda. Natafuta gari aina ya beetle au mgongo wa chura zile za kizamani. Mtu mwenye nayo ani pm
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Habari za mchana watanzania wenzangu.Ninataka kununua bidhaa kwa mtandao.Ninataka kujua jinsi ya kufanya taratibu hizo.Pia ninataka kujua kuhusu kodi zozote kama zipo.Vitu ninavyotaka kununua ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Simu ipo kwenye hali mzuri sana, Haina mchubuko ipo smart, Ina mfumo wa kupiga picha za HDR , SLOW MOTION, Na ina extra software ajili ya ulinzi wako tofauti na simu nyingine. Ina tatizo la Mic...
0 Reactions
2 Replies
967 Views
Arusha Poetry Club wanawaalika wapenzi na wadau wa ushairi na lugha katika tamasha la ushairi litakalo fanyika katika eneo la Themi living Garden siku ya jumapili tarehe 28 mwezi wa April kuyanzia...
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Samsung galaxy A5 Rom 16gb Ram 2gb Haijawai kufunguliwa Mint condition Bei 200000
0 Reactions
37 Replies
4K Views
wakuu amani iwe juu yenu. kaji-saloon kangu kamepata shurba kidogo katika mizunguko bodi imebonyea kiasi na rangi ya silver kuchunika! Sasa nataka nikapeleke clinic karudie mvuto wake! Wadau...
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Wakuu Heshima kwenu Nikiwa kama kijana mtafutaji, nimejibana kwa kipind kirefu nimepata 6M, nahitaji kiwanja maeneo ya mapinga hadi Zinga bagamoyo kiwe karibu na barabara kuu ya bagamoyo, atleast...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Yule anajua taasisi au kampuni yenye kunikopesha gari nzuri lisilozidi 9 nitakua narejesha kama laki 2-3 kwa mwezi. mwajiri wangu kakubari kuwa mdhamini wangu.
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Hello wadau wa JF.... km kuna mwenye uzoefu na wauza magari kwa mwanza ningependa tujuzane hapa..... Nahitaji gari used iliyo katika hali nzuri kabisa kwa mil.6 , je naweza pata gari aina gani kwa...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Salaam Kiwanja kinapatikana kitunda kituo cha Florida. MAELEZO kiwanja kina ukubwa wa meter 27 kwa 24 (sqm 648) Kiwanja kina msingi tayari. Kipo umbali wa meter 500 kutoka barabara kuu ya lami...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hi.. Ndugu nafanya kazi mbozi mkoa wa songwe, Sasa nimekutana na fursa ya viazi mviringo kwasasa ambapo ni msimu wake, nikaona nishirikishe wadau mchangamkiee fursa Tuwasiliane kwa namba 0744952984
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Natufa chumba master na sebure maeneo ya mikocheni,mbezi beach,mwenge, Kijitonyama, Makumbusho na msasani Maji yawepo, na umeme wa kujitegemea . isiwe karibu na msikiti wala kanisa,kisiwe cha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji digital photo printer ambayo inaweza kutumia paper aina ya fuji/kodak siyo glossy paper kama zile epson.. namba 0717217621
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Apartment mpya na iliyo sehemu nzuri inapangishwa katika Jengo la Watumishi Housing, Magomeni Usalama. Ina vyumba vitatu vya kulala, moja ni self contained. Ina sitting room, open dining room...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
HABARI WAKUU.TUNASUPPLY SECOND HAND ITEMS AINA ZOTE MF ELECTRONICS,KITCHEN EQUIPMENTS,VIFAA VYA OFISINI,VIFAA VYA MAZOEZI NK UNATOA ORDER THEN BAADA YA SIKU 10 UNAPOKEA MZIGO WAKO NOTE:BIDHAA HIZI...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Habarini, Dada yangu huyu aliolewa kigoma na fundi umeme mtumishi wa tanesco kwa jina Kulwa na baadae walihamia Dodoma na hadi sasa wanaishi Dodoma. Yoyote aliye na mawasiliano nae aniunganishe...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Sisi ni vijana Tunapambana na khali ya ukosefu wa ajira tumejiajiri kwenye hi industry . Karibuni tuwahudumie ili kuweka ulinzi katika nyumba zenu,shule,hospital ,maduka,bar ,club,restaurant...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
.
3 Reactions
56 Replies
8K Views
Natafuta miche ya mizabibu ambayo ishakuwa propagated tayari kwa kupandikizwa. Anayeweza kupata angalau 200-300 tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom