Heshima zenu wakuu... Naombeni msaada kwa mwenye uelewa wa shule za advance zenye mchepuo wa CBG kwa hapa dar na mikoa ya karibu... Natanguliza Shukrani
Lina piga kazi vizuri sana halijawai kuwa na.tatizo linagandisha ndan ya muda mfupi Na kina tumia umeme mdogo
Location : bunju daresalaam
Mawasiliano : 0744879704
Habari wadau inatafutwa nyumba ya kupanga maeneo ya makongo juu, sinza au mwananyamara
- Master bedroom, sebule na jiko la ndani
- Fenced
- Luku + maji ya kujitegemea
- Car parking
0716199297
ELA Lishe ni unga wa lishe wenye Afya kwa yeyote Faida yake
1)umpatia mtu Nguvu Kwa wale wanaofanya kazi ngumu au wasiojisikia kula hii *Chakula tosha 2) Uimarisha Mfumo wa Akili na Uti wa...
Habari za leo Wana JF!
Niko katika harakati za kuanza biashara ya samaki wa kukaanga kutoka bwawa la Nyumba ya Mungu (Moshi, Kilimanjaro). Na kama ambavyo title inasema, ninatafuta wanunuzi wa...
Ndugu zangu habari za muda huu, Nilikua natumia simu tajwa hapo juu ila haikuwa ya kwangu nilizima mwenye nayo kaitaka mempa sasa nataka ninunue yangu naomba mnielekeze wapi ntaipata niko Dar
Zinahitajika rooms
1.single matata,,
2.master
3.master iwe na sebule au jiko
Maeneo kuanzia mbez beach mpaka tg/nyuki affordable price. Madalal kaz kwenu
Wanabodi salaam
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nahitaji layers waliokaribia kuanza kutaga, wasiopungua 100. Lazima iwepo rekodi ya chanjo na tiba zingine kwa kipindi chote hadi kufikia umri...
CAR FOR SALE
MAKE ; Toyota
MODEL ; Prado
COLOUR ; Silver
Cc ; 2690
YEAR ; 1999
NUMBER ; C
ENGINE ; 3RZ
PISTON ; Four
IMPORTED YEAR ; 2013
MODE OF TRANSMISSION ; automatic
FUEL USE ...
Kiwanja kipo ukitokea ununio ukivuka tu daraja la Jkt mbweni kiwanja kipo mita chache tu ukivuka daraja, kimefec lami na ukubwa wake ni 1400sqm
Bei 150m
Bei hii ina maongezi kidogo
Maongezi...
Nyumba inavymba 8 na mabanda ya uwani.. size plot 700sqm
Pia kuna frem moja ya duka
Mita mia kutoka lami
Panafaa Guest house, hostel, apartment, dispensary nk
Bei 80m
Bei ina maongezi japo...
Habari Ndugu zanguni,
Naomba msaada wa kujua wapi naweza kupata mashine za kusaga na kukoboa kwa gharama nafuu na zenye guarantee/warranty za kueleweka.
Nitashukuru kama utainclude capacity...
#Nyumba# #za# #kupanga#
Kwanini uzunguke na dalali mtaani?na uchajiwe Pesa za kuzungushwa kwenye nyumba ambazo uzifahamu kabisa!!!
Taja Sifa ya Nyumba unayotaka utatumiwa What's up Ukilizika...
Wadau!
Mimi nipo kijijini, na mayai yanauzwa kwa wastani wa Tshs 250 mpaka 300.
Sasa nahitaji mtu tufanye hii biashara.
Yaani mimi nimkusanyie Mayai huku kijijini, na nimpelekee mjini...
Habari wakuu, natafuta vifaa kwa biashara ya chips, yeyote anaeuza Mbeya mjini naomba tuwasiliane pm.
Kama kuna eneo pia naomba tuwasiliane pm.
Karibuni sana!
Dagaa safi kutoka Mwanza wanapatikana kwa bei ya jumla. Dagaa wapo kwenye magunia yenye uzito wa kilo 40 kila moja na wanauzwa shilingi 120,000 kwa kila gunia .Mzigo upo Kiluvya. Kwa mawasiliano...
Mojawapo ya changamoto kubwa kwenye Biashara ya Saluni ya kiume ni kujua mapato halisi yanayoingia.
Vijana wengi wanaofanya kazi Saluni sio wa kweli... .Anaweza kukwambia anapata20,000/=kwa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.