Wakuu salama,
Nahitaji Toyota Hiace kwa ajili ya Biashara.
Ofa yangu Tsh. 16,000,000/=.
Iwe nzima na ambayo haijatumika muda mrefu wala kuchokonolewa na mafundi uchwala.
Manual & diesel.
Iwe...
Wanau kwa yeyote anayeuza madini hayo naomba ani pm tufanye biashara. Nitaomba picha kujua ubora wa madini ili kupunguza gharama zisizo za msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Selling used 2006-2009 Hilux Surf/4Runner Headlights. With simple modification, these will also work on 2004-2005 Hilux Surf/4Runner.
Price: Shs. 450,000 for both.
Contact 0625 536 529
Kama title inavyojisemesha hapo juu, mkopo unahitajika haraka unatakiwa kutoka kwa mtu, watu au kikundi binafsi na sio bank maana masharti na urasimu ni mwingi.
Habari!
Nauza apple cider vinegar with mother, kwa bei ya shilingi 30000/= kwa ujazo wa nusu lita.
Pia hii apple cider vinegar ina faida nyingi sana ikiwemo kupunguza uzito (inapunguza hamu ya...
Habari za wakati
Fremu inakodishwa kwa gharma ya TZS 70,000 tu kwa mwezi
IPO Kigamboni kwa URASA karibuni na Kituo Cha Polisi Kigamboni na Mahakama ya wilaya ya Kigamboni
Ni kubwa na imefanyiwa...
Wadau tuna tengeneza pamp za kuvuna maji kwenye visima, mito, mabwawa na ziwa, zenye uwezo mkubwa na zina tumia mafuta kidogo yasiyo zidi lita 2 kwa saa. pamp zinaweza tumia injini, trecta au...
Nyumba na kiwanja chake vipo igoma jijini mwanza
Being ni mil 12
Eneo lake ni miguu 18 kwa 25
Limepimwa kabisa bado umeme
Namba za simu: 0762972021 kwa maelezo zaidi
LG GAME L.E.D TV
43 inches
Price:680,000
Samsung L.E.D
32 inches
Price:370,000
SINGSUNG LED
25 inches
Price:230,000
Location:ukonga/mombasa
Call/txt;0712654515
Wasap;0629954454
Toyota Vanguard inauzwa mil 26 manufacturing year 2010,5seat,mileage km 89000 gari IPO dar haina tatizo lolote njoo na fundi ukague Gari piga cm 0714787795
Nyumba nzuri sana ipo malamba mawili dar es salaam
Dk 5 tuu kutoka barabara ya lami
Vyumba vinne vya kulala
Viwili ni master
Na viwili vya kawaida, sebule,jiko daining stoo na public toilet...
Habarini!!
Kuna emergency imempata ndugu yangu flani/ mwanafamilia!!
Anashida na mkopo wa milioni mbili (2,000,000) . wa haraka.
Dhamana ataweka nyumba yake! Haina tatizo lolote lile na ina...
DESCRIPTIONS:
Ina Blocks 6 za Kutengeneza Chaki kila Block ina Matundu 800 (6 Moulds);
Ni Semi-Automatic (Ina Motor ya kufanya Mixing ya Raw materials pamoja na Maji Automatically;
Ina OVEN...
Ipad Mini 2
32GB
Cellular (3G/4G/LTE internet) and Wifi
Retina Display
HD video and audio playback
Processors: A7 with 64-bit architecture, M7 coprocessor.
Bluetooth 4.0
Comes with origina...
Nauza kingamuzi "decoder" ya startimes complete pamoja ungo wake na waya wake wa kutoka kwenye ungo mpaka decoder
Location : dodoma mjini
Bei : 90,000/= haipungui
Phone : 0692 477 837
Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.