tunauza mabata mzinga aina ni madume mazur kwa mbegu Hata kwa kitoweo pia mahaala ni KIBAMBA SHULE- DAR ES SALAAM KWA mawasiliano zaid tupigie kwa 0755730192 au kwa whtsup tuchek kwa...
TYPE :TECNO CAMON CX
STORAGE:32GB
CAMERA QUALITY:16MP KOTE MBELE NA NYUMA
ANDROID VERSION:7.0
RAM:2GB (KUSTACK SAHAU)
PRICE:230,000TSH
CONTACT:0752156818
KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM
Tunauza mbao fupi za dawa zenye kudumu kwa muda mrefu na zisizo weza kushambuliwa na wadudu waalibifu
Pia itakuepusha na utapeli wa futi kwani mbao hizi ni bora sawa na zile ndefu za kupima...
Nyumba hii ya ksasa kqbisa ipo Gongolamboto-Ulongoni.
Ipo centre kabisa na ni mwendo wa dakika 10 kwa bodaboda mpaka stand ya daladala Gongolamboto.
~Ina vyumba 3 na 1 ni master bedroom.
~Dinning...
Naam wanajamvi sasa safari za moja kwa moja toka Tanzania mpaka India zimeiva kupitia ndege yako pendwa za Air Tanzania, Ni kuanzia Tarehe 17 July safari itaanza rasmi kwa siku za Jumatano, Ijumaa...
Poleni na majukumu
Nilikuwa Nataka kujua Gharama za Usafir n'a ushuru wa forodha pâle bandarini Ikiwa nitaagiza Gari iliyozid miaka 10 Toka itengenezwe
Kutoka japan (Nissan civilian)
Habari wadau?
Kuna fremu nzuri inapangishwa katikati ya mji wa morogoro. Opposite na Vodashop morogoro. Ni fremu ya nne kushoto mwa exim bank.
Kwa maulizo piga no. 0744537265.
Karibuni.
Habari zenu wadau..
Kuna PS3 game ambayo ni used inauzwa... iko full packaged na ina padi zake mbili wireless..
Imetumika kwa muda wa miezI 6 tu tangu kununuliwa mpya kutoka dukani.. yenywe bado...
Umoja wa Ulaya (European Union) wametoa wito kwa ajili ya kuwasilisha maandiko ya miradi (Concept Notes) kwa Asasi za Kirai nchini Tanzania. Lengo mama (Overall Objective ) la E.U katika wito...
Je umewahi kumtembelea Rafiki, Jirani, Ndugu au Jamaa ukavutiwa na uzuri wa design ya Sebule yake au nyumba yake?! Na ukatamani nyumba yako ingekuwa imedizainiwa vizuri kama ya mwenyeji wako...
Ni rafiki yangu wa mda kama miezi nane iliyopita nilimlea tokea akiwa mdogo lakini sasa inabidi nimuuze tu maana hatuna maelewano mazuri
Ni paka mpenda bata au starehe
[emoji116] Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.