Habari zenu wanajukwaa,
Hiyo buti inauzwa ni size 45 na haijawah valiwa kabisa (Mpya)..!
Niko Dar es salaam kwa yeyote atakae kuwa interested
Price : 50,000/=
* CARDS FANTASY *
Jipatie :-
*Business Cards*
*Membership Guards*
*Vitambulisho Vya Plastic {Pvc}*
*Name Tags, Door Tags na Personal Tags*
*Certificates Designing and Printing*
*Social...
Habari wakuu, nauza viti viwili vya mtumba vya salon ya kiume, bei ni sh. 240000(bei inaweza kupungua)kwa kila kimoja. Mwenye uhitaji ani pm tufanye biashara.
*VATY LEACHING GOLD PLANT FOR SALE:*
LOCATION: GEITA REGION TANZANIA.
HAS ABOUT 1MILLION TAILING ORE WITH ~1.5gAu/ton. ( commenced its operations on june 2010)
SUITABLE FOR CIP /CIL PLANT...
Kama kuna mtu yoyote anajua bei ya LULU au PEARL kwa soko la Tanzania unaweza Ku share na Mimi tafadhari....
Pia ni muhimu kujua kama biashara inafanyika kwa Gram, kwa Millimeters au per stone...
Wakuu salam.
Nahitaji pikipiki Boxer kwa mkataba.
Si lazima iwe mpya, hata kama imetumika,ila iwe katika hali nzuri.
Kama inahitaji matengenezo,tutazungumza.
Napatikana mabibo, Dar es salaam...
Kwa hali hii maisha yataenda.. Gusa link hii chin [emoji1427][emoji1427][emoji1427]
http://MyWorkingHour.com/?userid=938027
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza laptop sonny Vaio VPCEL 22FX
Ram - 8 Gb
Hard disk - 300 Gb
Processor - Amd E-540 APU with Radion hd
Battery 2 hours use
Better gaming experience including fifa 2019, Need for speed rivals...
Kuna mashamba ukubwa kuanzia ekari 1, kwa being ya tsh 1M hapa Dodoma, na kiwanja kikubwa 70/46 kiko Veyula. Vyote havijapimwa. Kwa mwenye nia ya kweli tuwasiliane 0658609050
Sent using Jamii...
VIWANJA VINAUZWA KIBAHA(KWA MFIPA) 20×20sqm BEI NI TSH.800,000/= TU.
~VIWANJA NI VIZURI SANA KWA MAKAZI
~HUDUMA ZOTE ZIPO IKIWA NI PAMOJA NA BARABARA.
~VIPO KM 2.5 TOKA BARABARA KUU YA DAR-MORO...
Wakuu kwema nilikuwa nahitaji kujua bei ya kiwandani au jumla ya hvyoo vifaa hapo chini nilikuwa nataka kufungua kihardware kwa vitu vifuatavyo
Square Pipe 1.5 inch 1 inch pamoja na robo tatu...
Nyumba iko mbezi jirani na Giraffe hotel, mtaa wa pili kutoka lami..vyumba 4 vyote ni self, jiko nk
Size plot 1600 sqm
Bei Tsh. 650m na maongezi yapo
Mawasiliano zaidi 0756060183
Sent using...
NSUNGWI E-LEARNING ni Taasisi ambayo inahusika na utoaji Elimu ya sekondari (Form 1-4) kwa njia ya mtandao wa Intaneti na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Multimedia Technologies).
Masomo...
Wakuu salam.
Iwe Boxer au Tvs na aina nyingine pia.Naihitaji kwa mkataba kama wafanyavyo bodaboda kwa ajili ya shughuli zangu.
Hata kama imetumika,ila iwe katika hali nzuri.
Kama inahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.